Kindeena
JF-Expert Member
- Sep 27, 2017
- 11,462
- 21,124
Hizo nywele huwa zinatoka wapi? Kuna binti nae alishatapeliwa hivi alitafuna karatasi akatema nywele
Zinatoka saluni
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hizo nywele huwa zinatoka wapi? Kuna binti nae alishatapeliwa hivi alitafuna karatasi akatema nywele
😂😂😂Nimecheka Aisee, sasa unaona hapo uliyemwambia kaibiwa kiboya tulinganishe au tuishie hapo any way pole mkuuNimewahi mkuu ila kitambo kidocho🤣🤣🤣.
Nilitaja mpaka namba za siri za airtelmoney 🤣🤣.
Na mimi niliibiwa kwa staili hiyo.Mkuu mimi siyo kinda. Na kwenye maisha na mishe nimeshakutana na matapeli wengi sana. Kuanzia wale walikuwa wanaitwa wafunga kanyaboya, wanywesha watu madawa ya kulala kwa kutumia chambo cha demu mzuri etc... Na wote hao wameshindwa. Only kwa sababu mimi sina tamaa na nikiona mtu anataka kunizoea bila mpango namkwepa. Trust me, tapeli bila wewe kuwa na tamaa ya kutaka shortcut hakutapeli. Na pia kuwa na imani za kishirikina nako kunasababisha utapeliwe. Mimi aliyeweza kuchukuwa kitu kwangu ni mdokozi (siyo tapeli) mmoja mwanamke. Alikuwa na ''mimba'' kubwa akaja sehemu jamaa aliniomba nimsaidie kuuza nguo za watoto, akawa ananiambia ''hebu lete ilee'', nikigeuka, anachukua vinguo vilivyokuwa mezani, anatumbukiza kwenye lile tumbo la ''mimba''. Kumbe hakuwa na mimba bali alikuwa ameweka uwazi kwa ndani wa kutumbukiza vitu na kwa juu kuna ki-mlango chenye zipu.
🤣🤣🤣🤣🤣Hapo nimemaliza fomu 4. Nimekuja Dar kusoma pre form 5 nakatamani nirudi na simu ya GPS kijijini. Yule muhuni ili kunivuruga akili akanionyesha picha za X akanambia mwanangu utaenjoy sana
Pole yake sana...
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hukuliwa jicho kweli?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Yule tapeli nilimkubali ana mbinu, kikubwa usijadiliane naye. Mimi nijiona namumudu, akanipiga dk za jioooni
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hapo nimemaliza fomu 4. Nimekuja Dar kusoma pre form 5 nakatamani nirudi na simu ya GPS kijijini. Yule muhuni ili kunivuruga akili akanionyesha picha za X akanambia mwanangu utaenjoy sana
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ni aina ya mazingaumbwe kama shule ya msingi mtu kumeza mtwangio mdomoni.
Uko sahihi mkuu huyu mpuuzi alitakiwa kuandika dar pia wajinga bado tupoWe jamaa ni fala🤣🤣.
Unatapeliwa vipi kibwege hivyooo!?
Yaani mpaka kipindi hiki cha mwendokasi bado mnatapeliwa kwa style hii??😆😆,Siku moja nipo kwenye mizunguko yangu ya hapa na pale maeneo ya Ubungo nikakutana na jamaa mmoja baada ya kuzungumza nae kwa muda akaniambia nimelogwa na kuanza kuniambia mambo ya nyumbani kwetu, akaniambia kama huamini tafuna hili karatasi nikatafuna nikatema nywele Daah si nikaanza kumuamini aisee
Akaniambia nimkabidhi pesa zangu nilikuwa na Sh elfu 30 na simu akaniambia chukua hii dawa nenda mpaka pale kituo cha mwendokasi usigeuke nyuma wala kuongea na MTU ukifika itupe pale.
Ile nafika kituo cha mwendokasi akili inarudi kwamba huyu jamaa nimemuamini VP kumuachia simu yangu na pesa, nikageuka nyuma kumcheki simuoni nikaamua kurudi pale kilichofuata ni majonzi na kilio nimetapeliwa
Sitaisahau simu yangu ya Tecno spark 4 asee, niliumia sana siku hiyo
Hivi na wwe kweli mtu anakusimamisha barabarani hamjuwani,eti anakwambia tafuna hii karatasi na wwe unatafuna, siku ingine mtatafuna sumu mfe huku mnajiona live!!Hizo nywele huwa zinatoka wapi? Kuna binti nae alishatapeliwa hivi alitafuna karatasi akatema nywele
Wengi wanao tapeliwa chanzo ni tamaa zao wameshindwa kuzii control!!Pole sana, ndio kujifunza huko mkuu.
Na ukitapeliwa hamna ataesema umetapeliwa kijanja, sote tutakwambia umetapeliwa kijinga.
Mimi nilitapeliwa 25k ila sio kesi nilijifunza kutofatilia na kujisogeza kwenye mikusanyiko isiyo na maana.
Mtaji wa tapeli ni tamaa ya mhanga wa huo utapeli.Wengi wanao tapeliwa chanzo ni tamaa zao wameshindwa kuzii control!!
wee ni boya aisee sasa ujinga kama huu unaandika humuSiku moja nipo kwenye mizunguko yangu ya hapa na pale maeneo ya Ubungo nikakutana na jamaa mmoja baada ya kuzungumza nae kwa muda akaniambia nimelogwa na kuanza kuniambia mambo ya nyumbani kwetu, akaniambia kama huamini tafuna hili karatasi nikatafuna nikatema nywele Daah si nikaanza kumuamini aisee
Akaniambia nimkabidhi pesa zangu nilikuwa na Sh elfu 30 na simu akaniambia chukua hii dawa nenda mpaka pale kituo cha mwendokasi usigeuke nyuma wala kuongea na MTU ukifika itupe pale.
Ile nafika kituo cha mwendokasi akili inarudi kwamba huyu jamaa nimemuamini VP kumuachia simu yangu na pesa, nikageuka nyuma kumcheki simuoni nikaamua kurudi pale kilichofuata ni majonzi na kilio nimetapeliwa
Sitaisahau simu yangu ya Tecno spark 4 asee, niliumia sana siku hiyo
Hata mie huwa najiuliza sipati majibu.Hizo nywele huwa zinatoka wapi? Kuna binti nae alishatapeliwa hivi alitafuna karatasi akatema nywele