Aiseee maisha haya; Nimelima ekari 2, nimevuna gunia 6 tu

kishamawe

JF-Expert Member
Joined
Jun 20, 2020
Posts
267
Reaction score
362
Nilikuwa nimelima mahindi ekari 2, Jana nimeenda kuvuna haya mahindi nimempata gunia 6.

Nimeagiza Bajaji/ Toyo la mizigo kuja kubeba haya magunia 6 ya mahindi ambayo bado sijayapukuchua toka kwenye magunzi.

Cha ajabu kwangu ni ajabu bajaji/ Toyo limefika kijijini kuna zuio la mtendaji wa kijiji anaomba ushuru wa Mazao yangu ambayo ni chakula cha nyumbani kwangu
 
Nilikua nimelima mahindi ekali 2 Jana nimeenda kuvuna haya mahindi nimempata junia 6 nimeagiza Bajaji/ Toyo la mizigo kuja kubeba haya majunia 6 ya mahindi ambavyo bado sijayapukuchua toka kwenye magunzi, cha ajabu kwangu ni ajabu bajaji/ Toyo limefika kijijini kuna zuio la mtendaji wa kijiji anaomba udhuru wa Mazao yangu ambayo ni chakula cha nyumbani kwangu
Ccm mbere kwa mbere
 
😆😆😆😆😆😆😆😆
 
6 mara 80,000 unapata 480,000.

Kilimo ni umasikini.

Embue weka ghalama ulizotumia.
 
Nilikua nimelima mahindi ekali 2 Jana nimeenda kuvuna haya mahindi nimempata junia 6 nimeagiza Bajaji/ Toyo la mizigo kuja kubeba haya majunia 6 ya mahindi ambavyo bado sijayapukuchua toka kwenye magunzi, cha ajabu kwangu ni ajabu bajaji/ Toyo limefika kijijini kuna zuio la mtendaji wa kijiji anaomba udhuru wa Mazao yangu ambayo ni chakula cha nyumbani kwangu
Leejay49 hicho ndicho Kilimo
 
Ekari
 
Alafu kuna kipindi nilimsikia Anthony mavunde kipindi akiwa naibu waziri wa kilimo akisema vijana badala ya kubeti waelekeze nguvu zao kwenye kilimo! Wakati kulima kwenyewe ndio sawa na kubeti kama hivyo mwamba kaweka mkeka wa ekari 2 return ikawa gunia 6 😂😂😂
 
Back
Top Bottom