Aisha alipigwa, kuvuliwa nguo zote na Kurekodiwa, Na kwamba akisema kwamba alitekwa Picha zake zitavujishwa Mitandaoni na kumuua

Hawa si ndio walikuwa wanaimba "hakuna muuaji km Samia" walimpa na tuzo wakachapisha na khanga.. sasa jini limetoka kwenye chupa ninawalamba mmoja mmoja.
 
Alivuliwa au alivua mwenyewe? Kibiti kilimpeleka nini? Mwanamke wa kiislamu wa kizanzibari? Mmmmm

Isije kuwa hakukulipwa akaamua kuwawashia moto hao waliokataa kumlipa baada ya kumaliza mambo yao
unaweza ongea kwa kubeza kwa kuwa aliye fanyiwa hana undugu, ujirani ama mahusiano yoyote na wewe ila amini haya mabezo yatakuja kulipwa kwako ama mtu ambaye ana mahusiano ya damu
 
mbona kama kuna dalili za kuzima au kuficha fumanizi hivi 🐒
 
🚮 🚮
Kwamba hao watekaji hawana akili wala weledi wa kufuatilia wanayemtaka?
 
hospitali ya Mwananyamala nilipopelekwa madaktari na manesi walinikakuga mwili wote kuona kipigo nikichopata ili waweze kunipa huduma sahihi na kunipeleka chumba cha X-Ray kuona majeraha ya ndani ya mwili ...
 
Amiri jeshi na rais madaraka tofauti. Ni kama rais halafu anakuwa mwenyekiti wa chama. Rais ni mkuu wa serikali(dola) na Amiri jeshi ni mamlaka ya juu ndani ya jeshi la ulinzi. Ili kulifanya jeshi liwajibike kwenye utawala wa kiraia cheo cha amiri jeshi kimetoka jeshini na kukabidhiwa kwa mamlaka ambayo iko chini ya rais ndio maana kwa Tanzania rais anapoapishwa tu na hapo hapo anakuwa amiri jeshi. Ila katiba ikibadilishwa cheo hicho kinarudi jeshini. Mamlaka ya amiri jeshi kinahusu jeshi la ulinzi tu. Vyombo vya usalama viko chini ya rais kama mkuu wa utawala wa kiraia.

Kwenye utawala wa kiraia anaitwa rais na huko ndiko kuna uhamiaji, magereza, polisi, takukuru nk

Kwenye utawala wa kijeshi anaitwa amiri jeshi. Kwa katiba ya Tz, amiri jeshi ni lazima pia awe rais aliyepo madarakani lakini ni mamlaka mbili tofauti kwenye sarafu moja.
 
Wazungu na Wahindi wanatembea migongo na matumbo wazi

Pale kwa King Mswazi wanatembea matiti nje

Ila Iran ni tofauti Sana

Nadhani umeelewa 🐼
Kutembea kwao hivyo ni tofauti na kuvuliwa nguo zote na kurekodiwa

Kufanya hivyo kwa Mwanamke au Mwanaume yeyote ni Dhambi no matter ni wa Dini ipi
 
Aache kiherehere. Alipewa kanga kama zawadi akakipokea, Kisha anaenda kuichoma hadharani. Kama alikuwa haitaki angeichomea ndani mwake au akapigia deki. Sasa kiherehere Cha kujionesha Wacha akomeshwe. Tena amekomeshwa kidogo! KUMBAVU!!
Chawa naona mmepata tabu bibi muuaji uuaji wake kuwekwa hadharani. Naona mlitaka bibi mkojani abaki na taswira nzuri kwenye jamii, wakati kiukweli yeye ndio anayeaigizza kutekwa na kuuwawa wapinzani. Uzuri ujumbe umefika kuwa 4R ni porojo za mdomoni, lakini uhalisia unakataa.
 
Alivuliwa au alivua mwenyewe? Kibiti kilimpeleka nini? Mwanamke wa kiislamu wa kizanzibari? Mmmmm

Isije kuwa hakukulipwa akaamua kuwawashia moto hao waliokataa kumlipa baada ya kumaliza mambo yao
Huu nao ni uungwana?
Hata ukiweka unazi wa kivyama mbele, akili inaweza kukuelekeza kuwa chama chako kinafaidika sana ukiyasema haya?

Ubinaadam wako uo wai
 


Mama Samia mwongo mwongo hata kuomba ripoti hawezi tena maana ni uzushi tu yeye anafurahia haya. Polisi wote wapo tu
 
Chadema hadi mjambe cheche ...niliwaambia msifurahie kifo cha jpm hadi mjue kama kauliwa au la ..tena niliwaonya kuhusu walio nyuma ya hicho kifo ila nyinyi mkawageuza marafiki ...nchi imetekwa nyara na Raia feki wapo.kuvuna ubilionea kwao mtanganyika ni sisimizi tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…