Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
unaweza ongea kwa kubeza kwa kuwa aliye fanyiwa hana undugu, ujirani ama mahusiano yoyote na wewe ila amini haya mabezo yatakuja kulipwa kwako ama mtu ambaye ana mahusiano ya damuAlivuliwa au alivua mwenyewe? Kibiti kilimpeleka nini? Mwanamke wa kiislamu wa kizanzibari? Mmmmm
Isije kuwa hakukulipwa akaamua kuwawashia moto hao waliokataa kumlipa baada ya kumaliza mambo yao
mbona kama kuna dalili za kuzima au kuficha fumanizi hivi 🐒Hapa ndipo Tanzania ya Nyerere ilipofikishwa na Watukufu aliowaachia ambao wamejipa Uungu Mtu, Ngoja tuone Mwisho wao.
================
Mwenezi wa Baraza la Wanawake CHADEMA (BAWACHA), Aisha Machano, ambaye anadaiwa kutekwa na kuteswa na baadae kuokotwa kwenye pori la Kibiti, akizungumza tukio zima mara baada ya kuachwa porini Kibiti na kisha kujikuta Hospitali ya Rufaa ya Mkoa ya Mwananyamala ambapo alipatiwa matibabu.
Tukio hilo la kutekwa na kuokotwa kwa kiongozi huyo wa Baraza la Wanawake la Chadema Taifa, lilitokoa jana tarehe 19 Oktoba 2024, Kibiti mkoani Pwani na tayari jeshi la polisi limeshatoa taarifa ya kuanza kwa uchunguzi wa tukio hilo.
Bora wa Kikristo, Kihindi, Kibudha, Kiyahudi na Kiafrika si eti eeeh!!!Duh
Kumrekodi mama wa Kiislam akiwa mtupu ni Dhambi mbaya Mno mbele ya maulana 🐼
🚮 🚮Nadhani humo kwenye Chama cha CDM kuna mamluki wanaotoa siri za safari za viongozi kwa sababu hata Mzee alikibao alifuatiliwa hivyo hivyo na Alipanda na wauaji wake kwenye Basi sasa hawawatekaji wanajuaje nyendo za hawa viongozi kwa vyovyote kuna informer ndani ya chama na wasipo mshtukia mapema watakuwa wanatwanga maji kwenywe kinu
hospitali ya Mwananyamala nilipopelekwa madaktari na manesi walinikakuga mwili wote kuona kipigo nikichopata ili waweze kunipa huduma sahihi na kunipeleka chumba cha X-Ray kuona majeraha ya ndani ya mwili ...
Amiri jeshi na rais madaraka tofauti. Ni kama rais halafu anakuwa mwenyekiti wa chama. Rais ni mkuu wa serikali(dola) na Amiri jeshi ni mamlaka ya juu ndani ya jeshi la ulinzi. Ili kulifanya jeshi liwajibike kwenye utawala wa kiraia cheo cha amiri jeshi kimetoka jeshini na kukabidhiwa kwa mamlaka ambayo iko chini ya rais ndio maana kwa Tanzania rais anapoapishwa tu na hapo hapo anakuwa amiri jeshi. Ila katiba ikibadilishwa cheo hicho kinarudi jeshini. Mamlaka ya amiri jeshi kinahusu jeshi la ulinzi tu. Vyombo vya usalama viko chini ya rais kama mkuu wa utawala wa kiraia.Idara ya Usakama wa Taifa ipo chini ya Ofisi ya Rais, hivyo chini ya amiri jeshi mkuu na kama wakielekezwa vizuri, wakisimamiwa wafuate maadili, kupewa rasilimali zote fedha na watu wazuri, hawa watu wasiojulikana wanaweza kupatikana kwa haraka na kuchukuliwa hatua za kisheria kufikishwa Mahakamani.
Wasiojulikana wa kweli hawakuachi mzima, ni makamandoo, wanajua sehemu za kugusa kidogo tu na unaihama dunia. Naona kama maigizo tu.Mungu wa mbinguni ni zaiidi ya siasa za Dunia 🐼
Kutembea kwao hivyo ni tofauti na kuvuliwa nguo zote na kurekodiwaWazungu na Wahindi wanatembea migongo na matumbo wazi
Pale kwa King Mswazi wanatembea matiti nje
Ila Iran ni tofauti Sana
Nadhani umeelewa 🐼
Viongozi wa dini walivyo wanafki wako kimya. Wakisikia Chadema wanataka kuandamana kupinga uhuni huo wanaibuka na kuanza kuhubiri amani. Mambo kama hayo yanawagawa watanzania na kujengeana chuki kwa sababu za kutofautiana mitazamo ya kisiasa tu.
Thamani ya vitenge inafidiwa kwa damu ya mtutayari jeshi la polisi limeshatoa taarifa ya kuanza kwa uchunguzi wa tukio hilo.
Chawa naona mmepata tabu bibi muuaji uuaji wake kuwekwa hadharani. Naona mlitaka bibi mkojani abaki na taswira nzuri kwenye jamii, wakati kiukweli yeye ndio anayeaigizza kutekwa na kuuwawa wapinzani. Uzuri ujumbe umefika kuwa 4R ni porojo za mdomoni, lakini uhalisia unakataa.Aache kiherehere. Alipewa kanga kama zawadi akakipokea, Kisha anaenda kuichoma hadharani. Kama alikuwa haitaki angeichomea ndani mwake au akapigia deki. Sasa kiherehere Cha kujionesha Wacha akomeshwe. Tena amekomeshwa kidogo! KUMBAVU!!
Kwamba hapa ndio unaona umetupoteza maboya sana?!Eti aliweza kusoma namba PT kwenye Land Cruiser Nyeupe lakini hakumbuki namba huku akisema ilikuwa mchana kweupe.Anadai alipoteremka kwenye basi bodaboda wake alikuwa akimsubiriJe alimleta bodaboda kama shahidi?
Kuna kitu hataki kusema.
Wake wa pididy mnajulikana hivyo mnafikir kila mtu anaakili ya kuolewa. Ccm imefuga wajinga sana halafu eti itegemee kushindaKibiti kilimpeleka nini ? Kule kulikuwa na ma Alshabab kibao ya kizanzibari
Asije kuwa alienda kuolewa na kamanda wa alshabab wakashindwana huko
Polisi ni sehemu ya huo utekaji.Mmmh tumefika huku kweli. Tunadhalilisha utu wa mtu kisa siasa. Polisi wamelala usingizi wa pono.
Huu nao ni uungwana?Alivuliwa au alivua mwenyewe? Kibiti kilimpeleka nini? Mwanamke wa kiislamu wa kizanzibari? Mmmmm
Isije kuwa hakukulipwa akaamua kuwawashia moto hao waliokataa kumlipa baada ya kumaliza mambo yao
Hapa ndipo Tanzania ya Nyerere ilipofikishwa na Watukufu aliowaachia ambao wamejipa Uungu Mtu, Ngoja tuone Mwisho wao.
================
Mwenezi wa Baraza la Wanawake CHADEMA (BAWACHA), Aisha Machano, ambaye anadaiwa kutekwa na kuteswa na baadae kuokotwa kwenye pori la Kibiti, akizungumza tukio zima mara baada ya kuachwa porini Kibiti na kisha kujikuta Hospitali ya Rufaa ya Mkoa ya Mwananyamala ambapo alipatiwa matibabu.
Tukio hilo la kutekwa na kuokotwa kwa kiongozi huyo wa Baraza la Wanawake la Chadema Taifa, lilitokoa jana tarehe 19 Oktoba 2024, Kibiti mkoani Pwani na tayari jeshi la polisi limeshatoa taarifa ya kuanza kwa uchunguzi wa tukio hilo.
Soma Pia: Aisha Machano, Katibu mwenezi BAWACHA Taifa, alitekwa na kupigwa sana, ameokotwa porini akiwa na hali mbaya
Pia soma:Kuelekea 2025 - Aisha Machano, Katibu mwenezi BAWACHA Taifa, alitekwa na kupigwa sana, ameokotwa porini akiwa na hali mbaya
Chadema hadi mjambe cheche ...niliwaambia msifurahie kifo cha jpm hadi mjue kama kauliwa au la ..tena niliwaonya kuhusu walio nyuma ya hicho kifo ila nyinyi mkawageuza marafiki ...nchi imetekwa nyara na Raia feki wapo.kuvuna ubilionea kwao mtanganyika ni sisimizi tuHapa ndipo Tanzania ya Nyerere ilipofikishwa na Watukufu aliowaachia ambao wamejipa Uungu Mtu, Ngoja tuone Mwisho wao.