Pre GE2025 Aisha Machano, Katibu mwenezi BAWACHA Taifa, alitekwa na kupigwa sana, ameokotwa porini akiwa na hali mbaya

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Ndicho kinachofanyika vi milioni kumi kumi vya kuvulia vyupi za baamedi
 
Yanayo fanyika ni kwa faida ya Nani au kutisha,
Wanaharakati na wapinzani....ni SHAMELESS kabisa 😔😔
 
Nchi hii, nchi hii ,ipo na laana sana
 
Kumbe ni kati ya wale wahuni waliochoma vitenge ,wananchi wenye hasira wamtammaliza (kibaka) lazima ashambuliwe
Wewe unafikiri uko salama sana, tunasisitiza uongozi wa kisheria sio uhuni.Zaidi nanyinyi mtakufa pia, hata kama mtaumiza watu - hata wewe usikute kuna jamaa zako wa karibu kifo kimeishatembea nao au sio kweli ndugu?? Tusiumize watu, wala kushabikia watu wanaoumiza wengine - malipo ni hapahapa duniani
 
Mungu amfanyie wepesi ndugu yetu
 
Inasikitisha, pole na Mungu atakuponya dada yetu.
Kumbe ni kati ya wale wahuni waliochoma vitenge ,wananchi wenye hasira wamtammaliza (kibaka) lazima ashambuliwe
Inasikitisha sana,hapo ndipo ujue kuwa CCM haina maliziano ya kweli na amani inayosemwa na watawala ni amani ya maigizo.
Kwa mambo yanayotokea sasa inadhihirisha kabisa Uongozi wa Chadema ni dhaifu. Don’t moan, take actions
Kuna siku madhalimu wote watalipia hizi damu wanazomwaga
"We were forced to form a Paramilitary wing of uMkhonto we Sizwe within the ANC because the government of Whites Minorities of South Africa was terrorising us by using the State Security Forces."

Oliver Reginald Tambo, a former President of African National Congress (ANC) from 1967 to 1993.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…