Pre GE2025 Aisha Machano, Katibu mwenezi BAWACHA Taifa, alitekwa na kupigwa sana, ameokotwa porini akiwa na hali mbaya

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Haihitaji PhD kujua huu uhuni umefanywa na CHADEMA wenyewe. Baada ya kiki yao ya kuchoma vitenge kubuma wameona wamtoe huyu mwanamama kafara ili kupata political mileage. Ninalaani huu uhuni wa Mbowe na genge lake katili.
 
huenda wenye kuhitaji vile vitenge vilivyochomwa walipata hasira sana kwamba why this,

ingawa kuchoma vitenge sio jambo la kiungwana lakini pia kumpiga mtu kwa hasira sio jambo zuri pia 🐒
Huu uhuni umeratibiwa ndani ya CHADEMA kwenyewe. Haihitaji kuwa profesa kutambua hilo.
 
CHADEMA endeleeni kulialia kama nyie hamna mikono! Hivi mnashindwa nini kuwaelekeza red brigade nao wakaanza kuwateka UVCCM na UWT?
 
Hu
Huyu Mzanzibar tumemchoka eti Mama!
 
Wee mkuu wa nchi anakupa zawadi alafu unaichoma? Hiyo si ni dharau? Kwanini wasingevirudisha kwa heshima hile hile wakati wanavipokea na kuvikubali?
 
Samiah mama yangu,sisi waja was mwenyezimungu tunajua kabla mja hajazaliwa kitabu chake Cha maisha kinakuwa kishaandikwa!

Kama umeandikiwa URAIS was 2025 utakua TU hata watu wafanyaje lakini kama hukuandikiwa hukuandikiwa tu na huwezi kuwa hata kama ukiumiza wengi huwezi tu mama yangu!!

Tulia!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…