Pre GE2025 Aisha Machano, Katibu mwenezi BAWACHA Taifa, alitekwa na kupigwa sana, ameokotwa porini akiwa na hali mbaya

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Wewe huna faida Kwa maendeleo ya nchi
 
"Vidrama drama tu," "kifo ni kifo" ! Mungu aendeleee kutujalia
 
Baadhi ya majeraha ya kupigwa kwa Katibu Mwenezi wa Bawacha Taifa Mhe. Aisha Machano baada ya kutekwa na kuteswa na watu waliojitambulisha kuwa ni Jeshi la Polisi.
 
Attachments

  • 1C7F4A39-0C6A-44E8-8A84-A9A73C1A6758.jpeg
    19.8 KB · Views: 3
Huenda tunajiuliza kwanini wananchi wameonesha kukata tamaa, kumbe mambo kama haya wametulia wanayafiatilia kimya kimya, hakuna ulazima wowote wa kuyafanya haya ,
huenda wenye kuhitaji vile vitenge vilivyochomwa walipata hasira sana kwamba why this,

ingawa kuchoma vitenge sio jambo la kiungwana lakini pia kumpiga mtu kwa hasira sio jambo zuri pia πŸ’

Kwendeni zenu, ingekuwa hasira si wangempiga hadharani? Kwanini atekwe kwa kuviziwa, apigwe na kuteswa bila kionekana then atupwe porini?! Haya mambo hayakubaliki kwa lugha yoyote ile
gentleman,
Chadema waache ushirikina na haya mambo yao yataisha tu πŸ’
 
Huenda tunajiuliza kwanini wananchi wameonesha kukata tamaa, kumbe mambo kama haya wametulia wanayafiatilia kimya kimya, hakuna ulazima wowote wa kuyafanya haya ,
huenda ni kweli wamekataa tamaa kabisa na viongoz wao, kwamba badala waje na mawazo na mipango yakuleta mageuzi, ati woa wanachoma vitenge kana kwamba hilo ndiyo jambo la maanaa zaidi wanachama wao wanataka πŸ’
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…