100% huyo sio Mtu wa interest popote…Huyo ni katibu mwenezi, je Mimi na wewe?
sina haja kuunga mkono ramli wala ushirikina wa chama chochote yeyote kwaajili tu ya uongozi..
Tulia weweee na undelee kuuza madafu kimyakimya kwa kuzuga.Inasikitisha, pole na Mungu atakuponya dada yetu.
GACHAGUA FOREVERUhuru wa kujieleza umetolewa na Katiba..siyo hisani ya mtu binafsi.
NDIORefer to Doctor Ulimboka 😳🙄
Was it JPM ?????!!
Sasa swala la kuchoma vitenge lina sababu gani ya kumuadhibu mama wa watu, wao hasira zao wameamua kuchoma vitenge sasa kunasababu gani ya kumuua. Hii nchi inakwenda kubaya hili kundi la kigaidi likichekewa linaweza kusababisha machafuko nchini kwasababu watu wenye akili zao hata humo serikalini hawezi kukubaliana na upuuzi wanamna hii. Yaani msipishane kauli basi mtu anapotezwa sasa hiyo ni nchi au jehanamu.Kumbe ni kati ya wale wahuni waliochoma vitenge ,wananchi wenye hasira wamtammaliza (kibaka) lazima ashambuliwe
TUmesha impeach huyo Riggy GGACHAGUA FOREVER
Hata kuchoma vitenge ni namna mojawapo ya kutumia uhuru wakujieleza..Sasa mtu amewaletea suluhu ya kisiasa na uhuru wa kujieleza mkamchomea vitenge vyake 😂😂😂
Si walimshangilia sana kwamba hatawatesab😂😂 anyway tuendelee kutazama huu mchuano
Kima wewe! Kamwambie baba yako! Una akili za kipumbavu sana!Kwa nini wasichukuliwe hatua kama wanajiteka?
So amejiteka??Wajikite kwenye uchaguzi hizi drama wala hazitowasidia kitu mwisho wa siku watajitia makovu bila sababu!
Hizi damu anazomwaga hazitamuacha salama hata kidogo.Ndugu katika imani naona imekua adui katika imani. alianza kuuliwa Mzee Ally Kibao, na sasa ni huyu mdada Aisha Machano. Kiongozi pale juu kashalewa madaraka ni kuua tu na kutesa tu.
Anamteta yule mlevi mwenzakeHuoni haya,
Bi Aisha ni mwenzio ktk Imani, amechaniwa hijab, kaokotwa uchi wa mnyama na Hilo halikusumbui?
Wewe umechoma niniHuyo ni katibu mwenezi, je Mimi na wewe?