Pre GE2025 Aisha Machano, Katibu mwenezi BAWACHA Taifa, alitekwa na kupigwa sana, ameokotwa porini akiwa na hali mbaya

Pre GE2025 Aisha Machano, Katibu mwenezi BAWACHA Taifa, alitekwa na kupigwa sana, ameokotwa porini akiwa na hali mbaya

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Huyo ni katibu mwenezi, je Mimi na wewe?
100% huyo sio Mtu wa interest popote…

Yale yake ya mashambulizi ya arusha… the perpetrators will be caught na watasema

Tusikute hujuma against the president sasa zinafanya watu watumie strange playbook ya kuchafua serikali
 
Shida na raha ya ubaya huwa unaenda mbele na nyuma..CCM na polisi wao wasifikiri wako safe..watateka raia,watateka sijui hao wapinzani then wataanza kutekana wenyewe..kitabia kitatembea tu...wataanza kugusana wao kwa wao..ni sawasawa na mchawi tu..atakula watoto wa wenzake mwishowe atakula na wa kwake.Shame on you all..manaopindisha utawala wa sheria kwa maslahi yenu binafsi...
 
Kuna huyu mdau Tlaatlaah haya mambo anayaunga mkono
Hapo alipo roho yake nyeupeee

Ova
sina haja kuunga mkono ramli wala ushirikina wa chama chochote yeyote kwaajili tu ya uongozi..

hata hivyo,
nalaani vitendo viovu vya kihuni kama hivyo wanavyofanya ndani ya Chadema 🐒
 
Yawezekana wakawa wao ndo wanatekena,nā kutengeneza mazngira ya wananchi ili kuichukia Serikali yao
 
Kumbe ni kati ya wale wahuni waliochoma vitenge ,wananchi wenye hasira wamtammaliza (kibaka) lazima ashambuliwe
Sasa swala la kuchoma vitenge lina sababu gani ya kumuadhibu mama wa watu, wao hasira zao wameamua kuchoma vitenge sasa kunasababu gani ya kumuua. Hii nchi inakwenda kubaya hili kundi la kigaidi likichekewa linaweza kusababisha machafuko nchini kwasababu watu wenye akili zao hata humo serikalini hawezi kukubaliana na upuuzi wanamna hii. Yaani msipishane kauli basi mtu anapotezwa sasa hiyo ni nchi au jehanamu.
 
Sasa mtu amewaletea suluhu ya kisiasa na uhuru wa kujieleza mkamchomea vitenge vyake 😂😂😂

Si walimshangilia sana kwamba hatawatesab😂😂 anyway tuendelee kutazama huu mchuano
Hata kuchoma vitenge ni namna mojawapo ya kutumia uhuru wakujieleza..
 
Back
Top Bottom