Shooter Again
JF-Expert Member
- Sep 6, 2022
- 5,603
- 9,263
Wamekosa kazi ya kufanya hao acha watekwe tu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mmmmmh umewaza km mmHawajamnaniliu kweli
Kwendeni zenu, ingekuwa hasira si wangempiga hadharani? Kwanini atekwe kwa kuviziwa, apigwe na kuteswa bila kionekana then atupwe porini?! Haya mambo hayakubaliki kwa lugha yoyote ilehuenda wenye kuhitaji vile vitenge vilivyochomwa walipata hasira sana kwamba why this,
ingawa kuchoma vitenge sio jambo la kiungwana lakini pia kumpiga mtu kwa hasira sio jambo zuri pia 🐒
Leo ukichoma moto kitenge, kwa nini tusidhani kesho utachoma kitanda na kumuua kabisa?CCM wana mambo ya kitoto sana. Kwa nini sasa wanajikuta wamevurugwa wakisikia tu picha au vitenge vya mwenyekiti wao vimechomwa moto!!
Ubaya utakuja kulipwa tu siku mojaanatajwa kuwa ndiye mchora ramani
Yaan hakuna jipya mkuuWell said,
Watapambana kuua watu ila mwisho wao nao wanakufa tu kama hao waliowaua.
Kama ni kweli wavichome Nchi nzima ili waendelee kuwateka maana ndio sababu watekaji na wauaji hawakamatwi wanatumwa kuitishia watu wasiongelee ufisadi uliopo Nchini.Katibu Mwenezi Bawacha Taifa Mhe. Aisha Machano akiwa Kibiti kuendelea na majumu ya Chama ametekwa na kupigwa sana kisha kutupwa porini.
Vijana wa bodaboda wamemuokota akiwa katika Hali mbaya na maumivu makali. Waliomteka walitaka maelezo ni nani aliwaelekeza kuchoma vitenge vilivyogawiwa na Rais
SuluhuSamia katika maadhimisho ya Siku ya Wanawake Duniani 2023 mkoani Kilimanjaro.
Kwa sasa amefikishwa hospitali kwa ajili ya matibabu na ameingizwa chumba maalum cha upasuaji (Theatre) kwa huduma zaidi.Taarifa za kina zitakuja hapo baadaye kadiri ya tutakavyozipokea.
Pia soma:
Huko Lumumba mtakuwa mnalishwa ujinga sana.Sasa mtu amewaletea suluhu ya kisiasa na uhuru wa kujieleza mkamchomea vitenge vyake 😂😂😂
Si walimshangilia sana kwamba hatawatesab😂😂 anyway tuendelee kutazama huu mchuano
💯Kama ni kweli wavichome Nchi nzima ili waendelee kuwateka maana ndio sababu watekaji na wauaji hawakamatwi wanatumwa kuitishia watu wasiongelee ufisadi uliopo Nchini.
Hapana sielewiUnaelewa maana ya Founder?
Aliwapa uhuru na vitenge wanatumia uhuru huo kuchoma vitenge 😂😂Sio vitenge vyake bhana....
Kwa hiyo mtu akionesha hisia zake kwa kuchoma picha au hicho kitenge basi anatakiwa kutekwa, kujeruhiwa, kuteswa, au kuuwawa siyo!! Nyinyi CCM ni laana tu kwenye hii nchi.Leo ukichoma moto kitenge, kwa nini tusidhani kesho utachoma kitanda na kumuua kabisa?
Kitenge kimekosea nini? Hivi mtu anasafishaje nyumba kwa kutumia uchafu?
Kama huoni kwamba hilo ni tatizo, basi kuna tatizo kubwa.
#MaendeleoHayanaChama
Uko wapi udhaifu kutoa taarifa nyie ndo mnasemaha chama cha matukio kwahiyo yakitukia wasitoe taarifa we vipi bans!Kwa mambo yanayotokea sasa inadhihirisha kabisa Uongozi wa Chadema ni dhaifu. Don’t moan, take actions