Glenn
JF-Expert Member
- May 23, 2015
- 69,329
- 164,730
MImi ni mjenzi profesheno, ni taaluma yangu, ujenzi aina zote unazozijua wewe.Bro nyumba ya kawaida sana dar 250,000 ya vyumba viwili..umeme, maji, taka na utilities tuseme 300,000 kwa mwezi kwahiyo 3.6M annually, hapo bado bajeti ya msosi, unafkiri vijana wadogo tunaota upara bahati mbaya? Kama ipo ya 1M najitosaaa
HAta ukiniamsha ndotoni na kunipa ramani ninakupa BOQ yake.
Hivyo mtu anapobwabwaja mimi ninamwangalia tu.
Hakuna hata room ya 2m ambayo inayokidhi kuitwa nyumba zaidi ya kuitwa banda la kuku, ambalo ukicheza 2m hazitoshi