Aishi Manula afungua duka la Vifaa vya michezo

Aishi Manula afungua duka la Vifaa vya michezo

Bro nyumba ya kawaida sana dar 250,000 ya vyumba viwili..umeme, maji, taka na utilities tuseme 300,000 kwa mwezi kwahiyo 3.6M annually, hapo bado bajeti ya msosi, unafkiri vijana wadogo tunaota upara bahati mbaya? Kama ipo ya 1M najitosaaa
MImi ni mjenzi profesheno, ni taaluma yangu, ujenzi aina zote unazozijua wewe.

HAta ukiniamsha ndotoni na kunipa ramani ninakupa BOQ yake.

Hivyo mtu anapobwabwaja mimi ninamwangalia tu.

Hakuna hata room ya 2m ambayo inayokidhi kuitwa nyumba zaidi ya kuitwa banda la kuku, ambalo ukicheza 2m hazitoshi
 
MImi ni mjenzi ptofesheno, ni taaluma yangu, ujenzi aina zote unazozijua wewe.

HAta ukiniamsha ndotoni na kunipa ramani ninakupa BOQ yake.

Hivyo mtu anapobwabwaja mimi ninamwangalia tu.

Hakuna hata room ya 2m ambayo inayokidhi kuitwa nyumba zaidi ya kuitwa banda la kuku, ambalo ukicheza 2m hazitoshi
Dah umemaliza, hatari fire. basi itakua ujenzi wa kijijini, estimate ya vyumba viwili na sebule kwa kujibana vilivo ngapi mkuu roughly? Yani kila kitu apo kuhamia tu, sitaki nakshi yani hapo muundo ata L tu
 
Mkuu huwa siongei hewani, weka ka ramani kako nikukadirie kishkaji
 
MImi ni mjenzi profesheno, ni taaluma yangu, ujenzi aina zote unazozijua wewe.

HAta ukiniamsha ndotoni na kunipa ramani ninakupa BOQ yake.

Hivyo mtu anapobwabwaja mimi ninamwangalia tu.

Hakuna hata room ya 2m ambayo inayokidhi kuitwa nyumba zaidi ya kuitwa banda la kuku, ambalo ukicheza 2m hazitoshi
au idea kama hii unatengeneza hall kubwa kama msikiti hivi alafu unatengeneza partition humo ndani kutumia singboard, hii inaonekana simple mkuu?
images (32).jpeg
images (33).jpeg
 
nikukadirie kishkaji
nilijenga kijumba mwanza nlimpa mtu anisimamie kosa nililofanya kutonakiri matumizi hela ilikua inatoka kwa mafungu, lakn najua ni zaidi ya 10M kidogo kdogo kwa miaka miwili.. this time ata msumari mmoja ntaandika.
 
Hapana picha ya ku download tu, lakn unaweza fanya makisio mtaalam 💪
Baba kwenye ramani kuna;
1. 2D hii ni floor plan, inaonyesha mchoro wa nyumba, vyumba na vipimo vyake.
Note: bila vipimo kamwe huwezi kukadiria.

2. Kuna 3D, hii ni muonekano halisi wa nyumba baada ya kukamilika.

Hivyo wewe umeonyesha hatua ya mwisho kabisa.

Note: ili ufanye makadirio halisi lazima uwe na vyote 2D na 3D ikiongezewa na kitu tunaita Cross Section
(Cross sections show a view through the building's framework from foundation to the peak of the roof)
 
nilijenga kijumba mwanza nlimpa mtu anisimamie kosa nililofanya kutonakiri matumizi hela ilikua inatoka kwa mafungu, lakn najua ni zaidi ya 10M kidogo kdogo kwa miaka miwili.. this time ata msumari mmoja ntaandika.
Room moja nzuri kiasi itachezea 8.5m hadi 12m
 
Kwani Tanzania kuna matajiri wa ukweli wangapi?

Hii ni nchi ya mafukara wote tu
Ndio nilichomaanisha na mawazo yetu yapo kimasikini. Naenda benki nakopa milioni Tisa napeleka kwenye ujenzi, pesa zinaisha zote ujenzi haujaisha nabaki hata hela ya mboga Sina.
 
Ndio nilichomaanisha na mawazo yetu yapo kimasikini. Naenda benki nakopa milioni Tisa napeleka kwenye ujenzi, pesa zinaisha zote ujenzi haujaisha nabaki hata hela ya mboga Sina.
Kwa hakika kukopa ujenge nyumba ni ujuha
 
Naomba nilelekeze kwa ufupi ku balance milion milion moja kutoa chumba na hatua itakayofika, umesema umejenga 10 kwa style hyo hvo sina shaka na uzoefu wako
Kama imani yako ni rahisi namna hii, basi chukua na hili. Mimi hapa nina gari linatumia maji hivyo sina gharama za kununua mafuta. You see?

In short nataka kusema hivi, acha upuuzi. Kama chumba kimoja kinagharimu milioni moja ina maana nyumba nyingi sana mjini ziko chini va milioni 10. Sababu zina vyumba vitatu au vinne nyingi. Hata muuza ukwaju wa Azam angejenga.
 
Mbappe na mchezaji wa EPL nani ana resources nyingi?

Kwanini Mbappe hana duka la vifaa vya michezo?

Tunakosea wapi?
 
Masikini huwaza NYUMBA kwanza
Sema Mkuu tuongelee dar maisha yalivo ghali, gharama ya kupanga mfano 3M kwa mwaka si bora ujibane udundulize hata 15M ukajistiri kwako? Familia hz na vijana wanasoma, wanakua utapanga had lini? Tofauti na hapo ukae uswazi vyumba had elf 30 vipo kwa mwezi! nafikiri ni kipaumbele cha mtu anataka akae vp na familia yake na kipato pia

Labda kutafuta national housing ila nazo adimu. Na maskini anatamani standard nzuri ya maisha
 
Back
Top Bottom