Ulitaka waishi maisha ya Mars ?Jiandae na mashambulizi kutoka kwa wanafunzi na waumini wao.... ila ukweli mchungu, mapadre wanaishi maisha ya kidunia mnoooo.
π€£π€£π€£Sijaisoma yote nimeishia hapo ulipo ishiwa nguvu!!
Yani kisa padre ameoa wewe ndo unaishiwa nguvu??
Waishi ya kiMungu zaidiUlitaka waishi maisha ya Mars ?
Maisha wanayoishi hayapo kwenye mafundisho yao.... halafu kama una mihemko yako usini quote wewe sio padre unayejadiliwa hapaUlitaka waishi maisha ya Mars ?
Hayo maisha ya kimungu ni yapi yaorodheshe hapa ?Waishi ya kiMungu zaidi
Hayo maisha wanayo ishi ambayo kwenye mafundisho hayapo ni yapi ?Maisha wanayoishi hayapo kwenye mafundisho yao.... halafu kama una mihemko yako usini quote wewe sio padre unayejadiliwa hapa
Atakua alikua kamuelewa bwana padreSijaisoma yote nimeishia hapo ulipo ishiwa nguvu!!
Yani kisa padre ameoa wewe ndo unaishiwa nguvu??
Kuwala warembo kama wewe sawa ni kweli.Jiandae na mashambulizi kutoka kwa wanafunzi na waumini wao.... ila ukweli mchungu, mapadre wanaishi maisha ya kidunia mnoooo.