Ajabu na kweli: Padri wa kanisa katoliki kaoa mke na anavuta sigara kali!

Ajabu na kweli: Padri wa kanisa katoliki kaoa mke na anavuta sigara kali!

Kuna hiyo mmoja padre nakula naye smart gin safiii kbs mengine yake siyasemi
 
Sijaisoma yote nimeishia hapo ulipo ishiwa nguvu!!
Yani kisa padre ameoa wewe ndo unaishiwa nguvu??
Kwani kitendo cha padre kuoa wewe unakichulia kwa wepesi mkuu? Wewe ni dhehebu gani?
 
Ndoa walifungia kanisa gani wewe mwendawazimu ?
Unafahamu maana ya neno ndoa? Rudi shule ukasome ndipo ujue kitendo ulichofanya ni zaidi ya kuoa. Tamaa za mwili zitakupeleka jehanamu. Tii miiko na sheria za kanisa; punguza tamaa za mwili mkuu.
 
Mapapai hayo yanajulikna. Kijana anafanya nini hapo, ullimuuliza?
Kijana alikuwa mpita njia tu lakini anaishi jirani na maskani ya padre....so anafahamu kila kitu kinachoendelea ndio maana hakusita kuniambia ukweli hadharani.
 
Wawaruhusu waoe kuwaokoa asilimia kubwa walio na wanaopenda kuwa na wanawake.
 
Kijana alikuwa mpita njia tu lakini anaishi jirani na maskani ya padre....so anafahamu kila kitu kinachoendelea ndio maana hakusita kuniambia ukweli hadharani.
Na wewe ulikuwa unapita kwa padri ukakuta mwanamke ukashangaa? Au ndiyo walewale? Umekuta mambo yamebadilika ukazimia?
 
Na weweulikuwa unapita kwa padri ukakuta mwanamke ukashngaa? Au ndiyo walewale? Umekuta mambo yamebadilika ukazimia?
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Bibi shikamoo.....!!
 
Padri wa kanisa Katoliki anakaa kwenye maskani yake mtaani! Kajitu hakalijui kanisa Katoliki kana anzisha uzi wa kijinga kuwaaminisha wajinga.
Unadhani mapadre wote wanakaa monastery? Kama hujui jambo bora uulize kuliko kuonesha ushamba wako hadharani.
 
Mkuu huyo padre anaishi mtaani?
Ulipata uthibitisho usiotia shaka kuwa kafunga ndoa?
Kasome sheria ya ndoa kwanza kabla ya kuja hapa kuuliza maswali ya kitoto mkuu.
 
Eti kijana 'akahofia kutoa siri' ujinga nao nikipaji.
 
Back
Top Bottom