tpaul
Platinum Member
- Feb 3, 2008
- 27,843
- 29,350
- Thread starter
- #241
Kama hawalazimishwi mbona yule askofu kutoka Zambia aliyeamua kuoa, walimlazimisha aende Vatican wakamficha huko hadi leo? Ingekuwa upadri sio suala la kulazimishana, basi wangemuacha aanzishe familia bila bugudha yoyote.Wamezuiliwqje?
Kwani wanalazimishwa kiwa Padre?
Au.m wanakatazwa kuacha?
Kwanini wanataka yote?
Ukishakuwa Padre ujue huna familia, hata kwenu hutazikwa.