Ajabu; Nimetongozwa na mwanamke mwezangu

watu wapo kaazini?
 
Kawaida siku hizi sijui shida ni nini?? Kuna mmoja mimi alinitongoza kanizidi umri halafu ni mzuri mpk nikahisi jini..!!

Ningemchekea ss hivi ningekua natolewa cheche kwenye kiharage 😹😹😹
Punguza maneno makali mdogo wangu.
 
Kawaida siku hizi sijui shida ni nini?? Kuna mmoja mimi alinitongoza kanizidi umri halafu ni mzuri mpk nikahisi jini..!!

Ningemchekea ss hivi ningekua natolewa cheche kwenye kiharage 😹😹😹
Kwa hiyo ulimnunia?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…