Ajabu; Nimetongozwa na mwanamke mwezangu

Nimejaribu kuinywa lkn wapi😁
Utahisi utani lakini ndivyo ilivyo kwa sasa.
Niliwahi pakia abiria(2)
Dom-Mbeya..nilichoshudia nyuma ya seat ile jioni,safari ilikuwa ngumu sana.
Wadada wazuri sana,walianza kama utani wakati nipo busy na Corner za Ngang'olo japo walikuwa wanajificha ficha.Ili bidi huko mbele niongee abiria wa Kiume wa masafa mafupi.
 
Inaonekana wewe ni pisi kali mpaka ke wenzio wanakutamani; mchepuko wangu ilishamkuta hili, adhabu yake ilibidi iwe kumpelekea moto siku nzima.
Boss, ke huwezi kumkomoa kwa sex. Ni viumbe wa ajabu sana, amini hilo
 
Ungesubiri amalize kukutongoza kwanza ndipo uje utusimulie. Itaendelea ni madhara ya kuandika na haraka ili mwingine asije akapost kabla yako
 
Hah
Kawaida siku hizi sijui shida ni nini?? Kuna mmoja mimi alinitongoza kanizidi umri halafu ni mzuri mpk nikahisi jini..!!

Ningemchekea ss hivi ningekua natolewa cheche kwenye kiharage 😹😹😹
ahahaha huyu dem.... Hakyamama
 
Huku maofisini watu ndio hatari sana, mambo ni mazito unatakwa Kingono na wanawake hadi na wanaume wanzako, wazee hawana adabu, vijana wamechanganyikiwa. Watu hawaogopi Pete yako ya ndoa kidoleni. Unakuta mama mtu mzima unamuheshimu kama mzazi lakini akikutamkia neno unabaki kutoa macho. Watu wamekata tamaa kwamba kuna maisha baada ya kifo. MUNGU atupe mwisho mwema.
 
Duh, kumbe haya mambo yapo kweli.!!!! Lakini bora ushoga wa kike, kuliko ushoga wa mwanaume kwa mwanaume.
Mleta uzi Jane Lowassa mbona umepotea mazima?? Umeanzisha uzi kisha hujamalizia story yako na kupotea kabisa.
 
Duh, kumbe haya mambo yapo kweli.!!!! Lakini bora ushoga wa kike, kuliko ushoga wa mwanaume kwa mwanaume.
Mleta uzi Jane Lowassa mbona umepotea mazima?? Umeanzisha uzi kisha hujamalizia story yako na kupotea kabisa.
Haya mambo yapo na kwasasa yamekithiri Sana.

Tumeshuhudia mengi ila sasa Vifua navyo ni muhimu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…