Ajali Dodoma: Basi la Geita Express limegongana uso kwa uso na Fuso, watu wanne wathibitka kufariki

Ajali Dodoma: Basi la Geita Express limegongana uso kwa uso na Fuso, watu wanne wathibitka kufariki

Awamu ya hofu hatukuona ajali kama hizi. Trafiki na polisi walisimamia sheria za barabarani ipasavyo ila Sasa awamu hii isiyo ya hofu tunapoteza watu kila siku.
Awamu ya hofu hata vyombo vya habari vilikuwa na hofu ajali kama hizi zilikuwa hazitangazwi kwa upana wake
 
Unaambiwa watu wanabeti basi gani litaingia hapa stendi likiwa la kwanza.uhai wa watu unabetiwa.

Madereva wa mabasi muwe mnajali miasha yenu na ya wengine acheni izo.
 
Awamu yenye Nidhamu ya Ukweli, Awamu ya watu kujiamini, Awamu ya Paka wa Yuda badala ya Simba wa Yuda, Awamu wa kula kwa Urefu wa Kamba, Awamu ya Kudemka, Awamu ya Mipasho, Awamu ya Makunduchi, Awamu ya Kikatiba, Awamu ya Kikeni, Awamu ya Zima Washa, Awamu ya Rivasi, Awamu ya Rimoti, Awamu ya kufuta Legasi za Dozer hahhahhahahahahaaaaaa
 
Awamu ya hofu hatukuona ajali kama hizi. Trafiki na polisi walisimamia sheria za barabarani ipasavyo ila Sasa awamu hii isiyo ya hofu tunapoteza watu kila siku.
Mabasi ya kanda ya ziwa ni hatari sana kupanda.
 
Watu kadhaa wanahofiwa wamefariki dunia baada ya kutokea ajali iliyohusisha basi lijulikanalo kwa Jina la Geita Express kugongana uso kwa uso na lori aina ya Fuso lenye namba za usajili T 134 DXR katika eneo la Chinangali II Mkoani Dodoma.

Habari zaidi zinafuata.

Haya magari ya abiria kuna haja ya kuweka kigezo cha umri.

Hawa vijana wavaa chain kubwa shingongoni siwaelewagi kabisa.

Wakaendeshe daladala.
 
Madereva wa siku hizi watoto watoto sana bwashee!
Kweli bwasheh

Abiria nao wanachangia ajali

Unamuachaje dereva anaendesha gari

Kama kabeba matenga ya nyanya

Dereva anakwenda spidi, ana overtake sehemu siyo abiria wamekaa kimya tu

Usalama wako unaanza na wewe

Kwa style hii narudia tena kusema, wabongo watakatika kama sisimiz

Ova
 
mama Samia keshaanza kutoa sadaka kwa yule malaika muasi
 
Waziri wa mambo ya ndani na IGP wanatakiwa kuwajibika kwa hizi ajali za kila siku.

Wamekaa kimya kwa lengo la kupaka matope serikali ya Mama Samia.

Ondoeni mkuu wa kikosi cha usalama barabarani.
 
Unaambiwa watu wanabeti basi gani litaingia hapa stendi likiwa la kwanza.uhai wa watu unabetiwa.
Madereva wa mabasi muwe mnajali miasha yenu na ya wengine acheni izo.
Alafu abiria wamekaa tu

Hawamkemei dereva

Ova
 
Back
Top Bottom