Ajali Dodoma: Basi la Geita Express limegongana uso kwa uso na Fuso, watu wanne wathibitka kufariki

Ajali Dodoma: Basi la Geita Express limegongana uso kwa uso na Fuso, watu wanne wathibitka kufariki

Point hiyo ni muhimu sana
Tushawahi kumtandika dereva wa bm coach wkt fulani kwa uendeshaji wake

Usalama wa abiria unaanza na sisi wenyewe, lakini Utakuta basi linaendwshwa mwendo wa ovyo

Abiria wamekaaa tu hawamkanyi dereva

Hata kama kufa kupo lkn hutakiwi kufa kizembe

Ova
 
khee aiseee sasa hizi ajali zimezidi, ukiskia mkwala wa kamanda muslimu utadhani kesho yake magari yatatembea spidi 20 lakini wapiiiii, Mungu awafanyie wepesi, huku kuliko endelea ajali zipo lakini very rare na kwa sababu za maana kweli kweli sio ajali tu inatokea bila kichwa wala miguu
 
Waziri wa mambo ya ndani na IGP wanatakiwa kuwajibika kwa hizi ajali za kila siku. Wamekaa kimya kwa lengo la kupaka matope serikali ya Mama Samia. Ondoeni mkuu wa kikosi cha usalama barabarani.
Hapana lazima tubadilike, huu muundo wa barabara kuu kuwa wa Njia moja ni rahisi kupata ajali, maana safari ya masaa 16 ni kupishana na wenzako kasoro kipande kidogo mno cha Dar ambako utakuta angalau njia 2, 3 au 4.

Tujenge miundombinu kisasa zaidi.
 
Ajali nying sababu ya watu kuhamia upande wa wenzao unakuta mtu ana ovateki kizembe au anasinzia anahama.

Ila njia ikiwa ya uelekeo mmoja double road ajali zitapungua 90%

Sent from my TA-1004 using JamiiForums mobile app
 
jingine abiria wanapenda bus inayokimbia sana bus inayokwenda taratibu hata stend linachelewa kujaza inayokimbia ikiingia stend na hizo amsha amsha za wapiga debe dakika sifuri liko full
 
Hapo lazima chanzo kilikuwa kwenye ku overtake
Nlisema hizi ajali watu watakufa kama sisimiz mamlaka husika, abiria nyie endeleeni kuwachekea hao madereva
Na mwendo waoo

Ova
Juzi tumekoswakoswa kugongwa na magari ya serikali kwa kuovertake bila kuona mbele
 
Watanzania na sisi kama tumelogwa,kmmke zetu! Tupo kimya tu!
 
Serikali ndio chanzo cha yote haya..tengenezeni double line kwenyw highway zote nchini..halafu mje mseme masuala ya ajali kama zitakuwepo..zaidi ya kupungua...miundombinu mibovu sana.

#MaendeleoHayanaChama
 
serikali chanzo Cha ajali!?[emoji706]
 
Watu kadhaa wanahofiwa wamefariki dunia baada ya kutokea ajali iliyohusisha basi lijulikanalo kwa Jina la Geita Express kugongana uso kwa uso na lori aina ya Fuso lenye namba za usajili T 134 DXR katika eneo la Chinangali II Mkoani Dodoma.

Habari zaidi zinafuata.

A22C8985-6CEF-4221-BB0D-0953D562E3EC.jpeg
 
Awamu ya hofu hatukuona ajali kama hizi. Trafiki na polisi walisimamia sheria za barabarani ipasavyo ila Sasa awamu hii isiyo ya hofu tunapoteza watu kila siku.
Tulipoteza pia watu kwa namna nyingine kwenye awamu ya hofu.

Kila awamu inapoteza watu kwa namna yake!
 
Watu kadhaa wanahofiwa wamefariki dunia baada ya kutokea ajali iliyohusisha basi lijulikanalo kwa Jina la Geita Express kugongana uso kwa uso na lori aina ya Fuso lenye namba za usajili T 134 DXR katika eneo la Chinangali II Mkoani Dodoma.

Habari zaidi zinafuata.

Mbona umewahi kutoa taarifa bila picha ya majeruhi?
 
Watu kadhaa wanahofiwa wamefariki dunia baada ya kutokea ajali iliyohusisha basi lijulikanalo kwa Jina la Geita Express kugongana uso kwa uso na lori aina ya Fuso lenye namba za usajili T 134 DXR katika eneo la Chinangali II Mkoani Dodoma.

Habari zaidi zinafuata.

Madereva wa haya mabasi ya mikoa wanaendesha rafu Sana ,yaani hawazingatii sheria za brbrn,unakuta Wana overtake hovyohovyo ,hata huyo nadhani alikuwa anataka ku overtake kipumbavu .wanakela Sana hawa madereva wa mabasi makubwa

Sent using Jamii Forums mobile app
Sasa dereva akiendesha rafu abiria wanamnyamazia hawamkei
Wabongo weng F kbsa
Usalama unaanzaga kwetu wenyewe

Ova
 
Back
Top Bottom