G-Funk
JF-Expert Member
- Feb 10, 2022
- 2,398
- 5,554
Njia zitanuliwe na madereva wafunzwe nidhamu ya uendeshaji. Yote hayo yakifanyika itakuwa ajabu sana kusikia gari imepata ajali.Daah Mungu awasaidie majeruhi,
Ila ajali sasa imekuwa too much, na naona tunaanza kuona ni kitu cha kawaida.
Hivi kweli, bado hatujajua nini kifanyike Kupunguza ajali??
Ajali zetu nyingi ni za uso kwa uso sababu ya barabara finyu. Pia uzembe wa uendeshaji wa kuovertake kwenye kona kali na miinuko ambazo ni blindspots.