Awamu ya hofu hata vyombo vya habari vilikuwa na hofu ajali kama hizi zilikuwa hazitangazwi kwa upana wakeAwamu ya hofu hatukuona ajali kama hizi. Trafiki na polisi walisimamia sheria za barabarani ipasavyo ila Sasa awamu hii isiyo ya hofu tunapoteza watu kila siku.
Mabasi ya kanda ya ziwa ni hatari sana kupanda.Awamu ya hofu hatukuona ajali kama hizi. Trafiki na polisi walisimamia sheria za barabarani ipasavyo ila Sasa awamu hii isiyo ya hofu tunapoteza watu kila siku.
Haya magari ya abiria kuna haja ya kuweka kigezo cha umri.Watu kadhaa wanahofiwa wamefariki dunia baada ya kutokea ajali iliyohusisha basi lijulikanalo kwa Jina la Geita Express kugongana uso kwa uso na lori aina ya Fuso lenye namba za usajili T 134 DXR katika eneo la Chinangali II Mkoani Dodoma.
Habari zaidi zinafuata.
Kweli bwashehMadereva wa siku hizi watoto watoto sana bwashee!
Wanakufa kama sisimizTANZANIA ni moja ya NCHI masikini sana DUNIANI. Wananchi wake wanakufa kijinga mno.
na wanapata pahali pema peponiWanakufa kama sisimiz
Ova
Unasema kweli mangi.Madereva wa siku hizi watoto watoto sana bwashee!
Wanalala na makahaba usingizi mwingiMadereva wa Fuso ndio reckless kuliko wote kila ajali kumi sita zinahusisha Fuso
Ukikutana nao usiku huwa hawabalishi taa kubwa wanakupiga full daahh!!
Alafu abiria wamekaa tuUnaambiwa watu wanabeti basi gani litaingia hapa stendi likiwa la kwanza.uhai wa watu unabetiwa.
Madereva wa mabasi muwe mnajali miasha yenu na ya wengine acheni izo.