Tushawahi kumtandika dereva wa bm coach wkt fulani kwa uendeshaji wakePoint hiyo ni muhimu sana
Hapana lazima tubadilike, huu muundo wa barabara kuu kuwa wa Njia moja ni rahisi kupata ajali, maana safari ya masaa 16 ni kupishana na wenzako kasoro kipande kidogo mno cha Dar ambako utakuta angalau njia 2, 3 au 4.Waziri wa mambo ya ndani na IGP wanatakiwa kuwajibika kwa hizi ajali za kila siku. Wamekaa kimya kwa lengo la kupaka matope serikali ya Mama Samia. Ondoeni mkuu wa kikosi cha usalama barabarani.
Ajali nying sababu ya watu kuhamia upande wa wenzao unakuta mtu ana ovateki kizembe au anasinzia anahama.Hapana lazima tubadilike, huu muundo wa barabara kuu kuwa wa Njia moja ni rahisi kupata ajali, maana safari ya masaa 16 ni kupishana na wenzako kasoro kipande kidogo mno cha Dar ambako utakuta angalau njia 2, 3 au 4.
Tujenge miundombinu kisasa zaidi.
Juzi tumekoswakoswa kugongwa na magari ya serikali kwa kuovertake bila kuona mbeleHapo lazima chanzo kilikuwa kwenye ku overtake
Nlisema hizi ajali watu watakufa kama sisimiz mamlaka husika, abiria nyie endeleeni kuwachekea hao madereva
Na mwendo waoo
Ova
serikali chanzo Cha ajali!?[emoji706]Serikali ndio chanzo cha yote haya..tengenezeni double line kwenyw highway zote nchini..halafu mje mseme masuala ya ajali kama zitakuwepo..zaidi ya kupungua...miundombinu mibovu sana.
#MaendeleoHayanaChama
Watu kadhaa wanahofiwa wamefariki dunia baada ya kutokea ajali iliyohusisha basi lijulikanalo kwa Jina la Geita Express kugongana uso kwa uso na lori aina ya Fuso lenye namba za usajili T 134 DXR katika eneo la Chinangali II Mkoani Dodoma.
Habari zaidi zinafuata.
Tulipoteza pia watu kwa namna nyingine kwenye awamu ya hofu.Awamu ya hofu hatukuona ajali kama hizi. Trafiki na polisi walisimamia sheria za barabarani ipasavyo ila Sasa awamu hii isiyo ya hofu tunapoteza watu kila siku.
Mbona umewahi kutoa taarifa bila picha ya majeruhi?Watu kadhaa wanahofiwa wamefariki dunia baada ya kutokea ajali iliyohusisha basi lijulikanalo kwa Jina la Geita Express kugongana uso kwa uso na lori aina ya Fuso lenye namba za usajili T 134 DXR katika eneo la Chinangali II Mkoani Dodoma.
Habari zaidi zinafuata.
Madereva wa haya mabasi ya mikoa wanaendesha rafu Sana ,yaani hawazingatii sheria za brbrn,unakuta Wana overtake hovyohovyo ,hata huyo nadhani alikuwa anataka ku overtake kipumbavu .wanakela Sana hawa madereva wa mabasi makubwaMadereva wa siku hizi watoto watoto sana bwashee!
Watu kadhaa wanahofiwa wamefariki dunia baada ya kutokea ajali iliyohusisha basi lijulikanalo kwa Jina la Geita Express kugongana uso kwa uso na lori aina ya Fuso lenye namba za usajili T 134 DXR katika eneo la Chinangali II Mkoani Dodoma.
Habari zaidi zinafuata.
Imekaa kimya tu huku inakufa kama sisimiziWatanzania na sisi kama tumelogwa,kmmke zetu! Tupo kimya tu!
Sasa dereva akiendesha rafu abiria wanamnyamazia hawamkeiMadereva wa haya mabasi ya mikoa wanaendesha rafu Sana ,yaani hawazingatii sheria za brbrn,unakuta Wana overtake hovyohovyo ,hata huyo nadhani alikuwa anataka ku overtake kipumbavu .wanakela Sana hawa madereva wa mabasi makubwa
Sent using Jamii Forums mobile app