G-Funk JF-Expert Member Joined Feb 10, 2022 Posts 2,398 Reaction score 5,554 Sep 3, 2022 #61 red apple said: Daah Mungu awasaidie majeruhi, Ila ajali sasa imekuwa too much, na naona tunaanza kuona ni kitu cha kawaida. Hivi kweli, bado hatujajua nini kifanyike Kupunguza ajali?? Click to expand... Njia zitanuliwe na madereva wafunzwe nidhamu ya uendeshaji. Yote hayo yakifanyika itakuwa ajabu sana kusikia gari imepata ajali. Ajali zetu nyingi ni za uso kwa uso sababu ya barabara finyu. Pia uzembe wa uendeshaji wa kuovertake kwenye kona kali na miinuko ambazo ni blindspots.
red apple said: Daah Mungu awasaidie majeruhi, Ila ajali sasa imekuwa too much, na naona tunaanza kuona ni kitu cha kawaida. Hivi kweli, bado hatujajua nini kifanyike Kupunguza ajali?? Click to expand... Njia zitanuliwe na madereva wafunzwe nidhamu ya uendeshaji. Yote hayo yakifanyika itakuwa ajabu sana kusikia gari imepata ajali. Ajali zetu nyingi ni za uso kwa uso sababu ya barabara finyu. Pia uzembe wa uendeshaji wa kuovertake kwenye kona kali na miinuko ambazo ni blindspots.