Ajali iliyohusisha Magari Nane, maelezo ya Polisi yanatia shaka

Ajali iliyohusisha Magari Nane, maelezo ya Polisi yanatia shaka

Ajali ina mambo mengi sana na ni ngumu kuitolea maelezo kama hukuwepo au kuhoji mashuhuda..

Unaweza kukuta unachoeleza wewe ni matokeo baada ya chanzo cha ajali, yaani hao wote walifikis huko kutokana na makosa ya mtu A...
 
Ukute Howo alimaliza kuovateki na kurudi upande wake wa kushoto lakini kutokana na mwendo kasi wa Ashok ya nyuma akashindwa kufunga break akaamua kutanua kulia ili asimgonge Ashok mwenzake ndio akakutana na Howo. Just thinking [emoji848].
 
1. Polisi walikua mwendo kasi kuanzia 80kph.
2. Dereva wa polisi aliovertake sehem isiyoruhusiwa akiwa kwenye mwendo mkali.
3. Baada ya overtake akakutana na lori uso kwa uso ila mwenye roli kajitahidi sana kumwepa.
4. Msafara wa polisi ulio nyuma yao sababu ulkua kwenye mwendo mkali wakajikuta kila mmja anagonga gari la mbele yake, pia hilo ni tatizo la kuendesha mwendo mkali bila kuchukua tahadhari yan walikalibiana sana nd maana wakagongana ovyo ovyo.
5. Polisi wamezembea barabarani, tatizo ajali wanapima wenyewe nd maana dereva wa Lori asie na makosa wamempa kesi ila mwenye makosa ni dereva wa bus la polisi alieovertake sehemu iliyokatazwa.
Polisi wawajibike kwa uzembe wanakataa makosa yao kwan wao ni malaika wamekosea wakubali tu mbn ni kitu kidogo tu.
 
Ukute Howo alimaliza kuovateki na kurudi upande wake wa kushoto lakini kutokana na mwendo kasi wa Ashok ya nyuma akashindwa kufunga break akaamua kutanua kulia ili asimgonge Ashok mwenzake ndio akakutana na Howo. Just thinking [emoji848].
3002970_IMG-20211116-WA0091.jpg

Ukiangalia kwenye picha hapo utaona Dereva wa lori alikuwa kwenye njia yake. Afande Dereva akimpita afande Dereva mwenzake. Kama alivyosema afande muandika ripoti sehemu hairuhusiwi ku-overtake, probably ni blind spot. Ghafla bin vuu!, madereva wote wakaona uwezekano wa ajali. Kwa defensive driving ya kiwango cha juu, dereva wa lori akachezesha kichwa na kuacha trailer.
 
Hapo polisi wanajaribu kutaka kukwepa lawama lakini chanzo cha ajali ni wao
... ndio polisi wa Tanzania; nguzo yao kuu ni UONGO! Kama jambo la wazi hivi wanadanganya, yale ya sirini hali ikoje? Kinachoitwa taarifa za polisi nchi hii sio cha kuamini kabisa!

Bila kuwa na oversight body ya ku-oversee utendaji wa polisi nchi hii, hatutoki. Hii inapaswa kuwa ajenda muhimu ya kisiasa. Wana mandate kubwa sana isiyohojiwa worse enough abuse imevuka mipaka.
 
Back
Top Bottom