Ajali iliyohusisha Magari Nane, maelezo ya Polisi yanatia shaka

Ajali iliyohusisha Magari Nane, maelezo ya Polisi yanatia shaka

Ukute Howo alimaliza kuovateki na kurudi upande wake wa kushoto lakini kutokana na mwendo kasi wa Ashok ya nyuma akashindwa kufunga break akaamua kutanua kulia ili asimgonge Ashok mwenzake ndio akakutana na Howo. Just thinking [emoji848].
Doesn't click, angalia mistari. Polisi ali-overtake sehemu isiyoruhusiwa, na alikua amamu-overtake PT mwenzie
 
1. Polisi walikua mwendo kasi kuanzia 80kph.
2. Dereva wa polisi aliovertake sehem isiyoruhusiwa akiwa kwenye mwendo mkali.
3. Baada ya overtake akakutana na lori uso kwa uso ila mwenye roli kajitahidi sana kumwepa.
4. Msafara wa polisi ulio nyuma yao sababu ulkua kwenye mwendo mkali wakajikuta kila mmja anagonga gari la mbele yake, pia hilo ni tatizo la kuendesha mwendo mkali bila kuchukua tahadhari yan walikalibiana sana nd maana wakagongana ovyo ovyo.
5. Polisi wamezembea barabarani, tatizo ajali wanapima wenyewe nd maana dereva wa Lori asie na makosa wamempa kesi ila mwenye makosa ni dereva wa bus la polisi alieovertake sehemu iliyokatazwa.
Polisi wawajibike kwa uzembe wanakataa makosa yao kwan wao ni malaika wamekosea wakubali tu mbn ni kitu kidogo tu.
Amazing analysis...
 
View attachment 2013601
Ukiangalia kwenye picha hapo utaona Dereva wa lori alikuwa kwenye njia yake. Afande Dereva akimpita afande Dereva mwenzaka. Kama alivyosema afande muandika ripoti sehemu hairuhusiwi ku-overtake, probably ni blind spot. Ghafla bin vuu!, madereva wote wakaona uwezekano wa ajali. Kwa defensive driving ya kiwango cha juu, dereva wa lori akachezesha kichwa na kuacha trailer.
You nailed it, walijifanya ni akina Sauli na Imani
 
Kweli polisi kumejaa vilaza sasa hapa aliye kwenye site yake si Hilo HOWO wajameni,gari ya polisi ndio ilikuwa ina overtake!!lakini Hawa mbwa watamlazimisha huyo dereva wa lory akubali kosa.
Ni Askari sio Mbwa....au kuna mbwa hapo hahahah
 
Back
Top Bottom