Ajali iliyohusisha Magari Nane, maelezo ya Polisi yanatia shaka

Ajali iliyohusisha Magari Nane, maelezo ya Polisi yanatia shaka

Hawa ndio watu unategemea watoe ushahidi wa kueleweka mahakamani, thubutu!!!

Picha ziko wazi kabisa, tena sitashangaa waliozisambaza wakaandamwa na kuchukuliwa hatua. Picha hazihitaji maelezo kujua nani ana makosa yaliyopelekea ajali.
 
Ukute Howo alimaliza kuovateki na kurudi upande wake wa kushoto lakini kutokana na mwendo kasi wa Ashok ya nyuma akashindwa kufunga break akaamua kutanua kulia ili asimgonge Ashok mwenzake ndio akakutana na Howo. Just thinking [emoji848].
Hata kama ni hivyo, Makosa kwa mujibu wa picha yanaonekana wazi
 
Hawa ndio watu unategemea watoe ushahidi wa kueleweka mahakamani, thubutu!!!

Picha ziko wazi kabisa, tena sitashangaa waliozisambaza wakaandamwa na kuchukuliwa hatua. Picha hazihitaji maelezo kujua nani ana makosa yaliyopelekea ajali.
... halafu kuna wapumbavu wanatamani social media zifungiwe! Tuishi gizani.
 
Ukute Howo alimaliza kuovateki na kurudi upande wake wa kushoto lakini kutokana na mwendo kasi wa Ashok ya nyuma akashindwa kufunga break akaamua kutanua kulia ili asimgonge Ashok mwenzake ndio akakutana na Howo. Just thinking [emoji848].
... "akaamua kutanua ili asimgonge ashok ya nyuma"; huo ndio utaratibu? Ukikutana na trafiki kwenye anga zao unaweza kuweka huo utetezi mezani wakakuelewa?
 
... halafu kuna wapumbavu wanatamani social media zifungiwe! Tuishi gizani.

Ni mwendelezo wa kuminya uhuru wa habari na haki ya wananchi kupata taarifa.

Hili tukio sio la kunyamaziwa likapita kimyakimya.

Afisa aliyeandika hiyo taarifa ya ajali awajibishwe ili kutokuongezea madoa kwenye uchafu na uozo uliopo kwa sasa.
Hii ni fedheha kwa chombo chenye dhamana ya kusimamia haki na usalama wa raia.
 
TUKIO LIMEKAGULIWA NA

ACP. SOFIA JONGO RPC TANGA

AKISAIDIWA NA

SSP LEOPORD .N. FUNGU RTO TANGA , SP. ELIAS RWAMBANO OCS KABUKU, A/INSP RAJABU KAIMU DTO HANDENI PAMOJA NA G.3191 CPL

MUSSA AMBAYE NDIYE AMECHORA NA KUPIMA ENEO LA TUKIO

Hawa wote wanatakuwa wawajibishwe.
Japo kuna uwezekano chochote kisifanyike kama ilivyokua kwa waliosababisha kifo cha yule mwandishi ambae picha zilisambaa mitandaoni.
 
Mbona huyo Mwenye Lorry yuko sahihi upande wake wa kushoto? Na inaonekana hilo basi jeusi la polisi ndio limemfuata upande wake?! Huu ujinga gani huu wanaleta?

Shangaa na wewe mheshimiwa...kwa mujibu wa taarifa ya chombo chetu cha usalama, dereva wa lori yuko ndani (lockup) na ndio mtuhumiwa wa kwanza kusababisha hiyo ajali.
 
Back
Top Bottom