Ajali iliyohusisha Magari Nane, maelezo ya Polisi yanatia shaka

Cheki unavojifanya mjuaji utadhani ulikuwepo wakati ajali inatokea...
 
Police is both a procecutor, investigator and detention officer..so tusishangae hapo..wanaendesha hovyo wamesababisha ajali lakini wanataka kumwangushia mtu zigo la mavi..na inavyoonyesha hapo walikuja kwenye msafara so wao ndo walikuja wanetanua kisa wanewashs full light.
 
Ajali ina mambo mengi sana na ningumu kuitolea maelezo kama hukuwepo au kuhoji mashuhuda..

Unaweza kukuta unachoeleza wewe ni matokeo baada ya chanzo cha ajali, yaani hao wote walifikis huko kutokana na makosa ya mtu A...
Labda useme hizo picha sio halisi. Lkn mbona ziko nyingi na zinaonyesha tukio ktk angle tofauti-tofauti?

Vv
 
Kama picha 'imejigeuza' hayo maandishi 'POLISI' kwenye magari yao yangedomeka 'SILIPO', usitetee ujinga.

Vv
 
Kupitia haya maelezo ya POLISI ndio Jamiii imepata ni uongo kiasi gani wanaupika ili kubambika Raia makosa. Ni uonevu mkubwa sana na inaonyesha ni kiasi gani hakuna weledi kwenye Jeshi la Polisi.
Kaka yangu SIRRO hapo Tanga walikudanganya kuhusu mauaji wa Askari kule Mpakani Tanga, lkn ulipobaini ukweli uliwajibisha wazembe. Nakusihi pia katika hili chukua hatua kali sana Kamanda. Huyu RPC aliyetoa hii taarifa mpe haki yake ili iwe mfano kwa wengine wanaopika taarifa.
 
Huyo dereva wa lorry anatakiwa kupewa hela za uanaume. Amemalizana nao kibabe sana maboya hao.

Sasa wao walivyokuwa wamejaa walitegemea jamaa afanyaje na hiyo si sehemu sahihi kuovertake.

Nitashangaa sana kama asasi za kiraia zitakalia hili swala kimya ikitokea Askari wakamhukumu huyu dereva asie na hatia ya kosa lolote.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…