Ajali katika soka zipo. Goli la Simba ni offside, ilaa mcheza kwao...

Hapana.
Hapo mchambuzi amekosea, ametulisha sumu. Mfungaji (Sakho) alipiga mpira iliokwenda kufunga eneo tofauti na alipokuwepo Kegele, sasa Kegele aliingiliaje huo mpira licha ya kuwa off side?

Pili mchambuzi anasema Berkane wana haki ya kulalamika katika hilo, wakati kiuhalisia hilo goli lilipofungwa hakuna mchezaji wala kiongozi yoyote wa Berkane aliyekwenda kulalamika kwa mwamuzi kuachilia walilikubali.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…