Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Na ww nivumilie tu mkuu....naongelea hiyo chambuzi ya mchele Oscar..si weweJifunzeni uvumilivu mikia..
Safi sana. Lichukue liwe lako... 😁😁😁😁Goli la berkane kwangu mimi halikuwa offside.
Kabwili upo wapi? Nyuma mwiko....Hapa hakuna cha kushangaa utata uliotokea game ya simba na R.s Berkane ni utata tunauona mara zote ktk ligi ya NBC tena mara nyingi simba awapo kwa mkapa....lazima ashinde kwa magoli/ushindi tata
hata mimi nimeshangaaHapana.
Hapo mchambuzi amekosea, ametulisha sumu. Mfungaji (Sakho) alipiga mpira iliokwenda kufunga eneo tofauti na alipokuwepo Kegele, sasa Kegele aliingiliaje huo mpira licha ya kuwa off side?
Pili mchambuzi anasema Berkane wana haki ya kulalamika katika hilo, wakati kiuhalisia hilo goli lilipofungwa hakuna mchezaji wala kiongozi yoyote wa Berkane aliyekwenda kulalamika kwa mwamuzi kuachilia walilikubali.
Kwa sheria za offside, ni kwamba mchezaji akiwa katika eneo la kuotea hapaswi kuuingilia mchezo. Ukiangalia ile mechi, kwanza wakati Sakho anaupiga mpira ule Kagere alikuwa katika eneo la kuotea pili ulivyopigwa mpira ule akauruka.Hapana.
Hapo mchambuzi amekosea, ametulisha sumu. Mfungaji (Sakho) alipiga mpira iliokwenda kufunga eneo tofauti na alipokuwepo Kegele, sasa Kegele aliingiliaje huo mpira licha ya kuwa off side...
Ukiwa kwenye offside position kisha uka block the view of goalkeeper ni kosa kwa sheria za FIFA unakuwa unahesabika kama umeuingilia mchezo.Hapana.
Hapo mchambuzi amekosea, ametulisha sumu. Mfungaji (Sakho) alipiga mpira iliokwenda kufunga eneo tofauti na alipokuwepo Kegele, sasa Kegele aliingiliaje huo mpira licha ya kuwa off side?
Pili mchambuzi anasema Berkane wana haki ya kulalamika katika hilo, wakati kiuhalisia hilo goli lilipofungwa hakuna mchezaji wala kiongozi yoyote wa Berkane aliyekwenda kulalamika kwa mwamuzi kuachilia walilikubali.
Ukiwa kwenye offside position kisha uka block the view of goalkeeper ni kosa kwa sheria za FIFA unakuwa unahesabika kama umeuingilia mchezo.
Angalia video hiyo chini kuna tukio ambalo mchezaji hakuugusa kabisa mpira na wala hakushiriki katika mpira kama vile Kagere alivyoshiriki kwa kuuruka. Ila goli lilikataliwa kwa sheria ya offside kwavile mchezaji alisababisha kipa asiweze kuona move ya kpira ( block view of the goalkeeper)
Mwanamaji
Goli la berkane kwangu mimi halikuwa offside.
Sasa mnaenda wapi CAF au FIFA kabisaa wandugu??Hapa hakuna cha kushangaa utata uliotokea game ya simba na R.s Berkane ni utata tunauona mara zote ktk ligi ya NBC tena mara nyingi simba awapo kwa mkapa....lazima ashinde kwa magoli/ushindi tata
Unaleta mahaba ya kishabiki badala ya kujadiliana kisheria. Jf sikuhizi utoto mwingi.
Sasa hii inasaidia nini mkuu kutumia nguvu kubwa kulijadili goli halali linalo wafanya simba kufikisha point 7 na kuongoza kundi DUkiwa kwenye offside position kisha uka block the view of goalkeeper ni kosa kwa sheria za FIFA unakuwa unahesabika kama umeuingilia mchezo.
Angalia video hiyo chini kuna tukio ambalo mchezaji hakuugusa kabisa mpira na wala hakushiriki katika mpira kama vile Kagere alivyoshiriki kwa kuuruka. Ila goli lilikataliwa kwa sheria ya offside kwavile mchezaji alisababisha kipa asiweze kuona move ya kpira ( block view of the goalkeeper)
Mwanamaji
Ungekuwa unajua sheria kweli ungekuwa unaheshimu goli halali lilikobaliwa na mwamuzi wa mchezoUnaleta mahaba ya kishabiki badala ya kujadiliana kisheria. Jf sikuhizi utoto mwingi.
Kwahiyo waamuzi huo hawakoseagi pamoja na kutoa maamuzi? Jf ni platform ya kuhabarishana na kuelimishana. Au kwako unadhani ni platform kama ya vijiwe vya kahawa? Na ndio maana wana slogan inayotumika kuwa home of great thinkers. Ni sehemu ya kujadiliana kwa hoja na kujibu kwa hoja. Asa wewe unakuja na ngonjera za kusema goli halali kisa limekubaliwa na refa kana kwamba marefa huwa hawakoseagi. Haya nimekupa sheria inavyosema na mifano unashindwa kujadili hiyo sheria unaruka ruka tu.Ungekuwa unajua sheria kweli ungekuwa unaheshimu goli halali lilikobaliwa na mwamuzi wa mchezo
Hizo unazoleta wewe ndio porojo na utoto wenyewe kujadili kitu ambacho unajua hakitabadilika kwa namna yoyote hata ukeshe hapa unajaza server za Jf