changaule
JF-Expert Member
- Jan 10, 2020
- 6,039
- 10,151
Halali kivipi kivipi wakati Kagere ameuruka mpira na pia amemziba kipa?Sasa hii inasaidia nini mkuu kutumia nguvu kubwa kulijadili goli halali linalo wafanya simba kufikisha point 7 na kuongoza kundi D
Au ndio wamorocco mnaandaa vielelezo na ushahidi kuelekea FIFA.