Ajali katika soka zipo. Goli la Simba ni offside, ilaa mcheza kwao...

Sasa hii inasaidia nini mkuu kutumia nguvu kubwa kulijadili goli halali linalo wafanya simba kufikisha point 7 na kuongoza kundi D
Au ndio wamorocco mnaandaa vielelezo na ushahidi kuelekea FIFA.
Halali kivipi kivipi wakati Kagere ameuruka mpira na pia amemziba kipa?

 
Umeeleza kwa usahihi kabisa mkuu.
 
Km
Goli la berkane kwangu mimi halikuwa offside.
Sawa kwako kwa kuwa wewe ni kanjanja linapokuja suala la sheria za soka!! Kwa watalaamu walioaminiwa na kupewa beji ya urefarii na FIFA Hilo ni goli lisilo na ubishi!
 
Kuruka siyokuingiia mchezo,
Kuruka kwa Kagere so kuingilia mchezo kuruka kwake hakuuathiri mwenendo wa mpira uliopigwa, na pia Kagere hakuwa amemziba golikipa kama huyu mchambuzi maandazi anavyodai. Nafasi aliyokuwa amesimama golikipa asingeathiriwa na urukaji wa Kagere!
 

Ule mpira ulipigwa wapi kama sio alipokuwa amesimama Kagere? Asa utasemaje kuwa hajamziba kipa wakati Kagere kasima eneo lile lile uliopigwa mpira.
 
Mtu akiuruka mpira sio anakuwa anampoteza kipa maboya
 
Waambie.
 
SawaSawaa...💯💯💯
 
Kuna mambo mawili tu ya kufanya.
1.kuandamana hadi lkulu kwa mama kupeleka malalamiko . Au
2.kukata rufaa CAS.
Kama hayo hamuyawezi , mkae kimya kuliko kutupanulia madomo kunuka yenu humu jf
Kweli. Wanashangaza sana hawa uto. Ktk hiyo clip hakuna hata mchezaji mmoja wala official wa Berkane aliyelalamikia goli.
 
We acha tu. Uchambuzi wenye vinasaba vya kitopolo.
 
Mkuu kwani ili goli liwe goli linatakiwaje? Maamuzi ya mawamuzi ni final, haya mengine hapa ni kujifariji tu hakuna kianchobadilika.
 
Mkuu hii sheria naifahamu lakini haihusiki chochote na goli la Sackho.
Ni vipi Kagere aliweza kublock view ya goalkeeper wakati mpigaji alikuwa upande tofauti, mpira ulipigwa upande tofauti na golikipa alikuwa upande tofauti na alipokuwepo Kagere?

Ni kweli Kagere aliruka ili kuukwepa mpira ambao alihisi ungemlenga lakini ule mpira haukupita pale alipokuwepo Kagere, sasa ni vipi tuuhusishe na kuruka kwa Kagere?
 
Kama umakasirika kunya jiwe

Sent from my PBBM00 using JamiiForums mobile app
 

Unachokiandika unakielewa kweli? Au unaandika ili mradi uonekane umejibu? Kitu ambacho hakiji uelekeo wako unakikwepa vipi? Ili ukwepe kitu ni lazima kije pale ulipo hivyo kagere ameuruka mpira kwavile umemfuata eneo alilokuwepo.

Kagere ka block vipi view ya goal keeper? Mpigaji kuwa eneo tofauti na Kagere sio tatizo bali tatizo ni Kagere kusababisha goli keeper asione move ya mpira hapo ndipo ame block vision. Angalia hii picha hapo mpira ulipopigwa aliyeukinga ule mpira kwa kipa ni Kagere.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…