Ajali Korogwe: Madaktari walipigiwa simu saa nne usiku wakafika saa kumi na moja

Ajali Korogwe: Madaktari walipigiwa simu saa nne usiku wakafika saa kumi na moja

Ni upuuzi tu !! Kwani masaa ya kazi hayajulikani? Hata uwapigie simu siyo lazima waje muda huo, kwani hawana shughuli nyingine waliyokuwa wanafanya? Eti asingekuwa Magufuli wasingefanya hivyo? UJINGA MTUPU.

Mbona yeye mwenyewe KAFA akiwa Rais? Kwa nini watu hawakumuogopa kuwa atakufa.
[emoji30][emoji30][emoji30][emoji30][emoji30][emoji30][emoji30][emoji30]
 
Madaktar hawana cha kufanya katika Taifa lenye facilities mbovu, hata wangekuwepo, wangeokoa tuu ambao uhai wao ulikuwa na uwezo wa kustahimili masaa walau 12. Hakuna vifaa. Daktar afanye nini
hoja yako ya nguvu,ogopa kundi la wajinga
 
Huyo kiongozi anaficha mapungufu yake. Labda hakuwa na timu ya uokozi wakati wa maafa eneo lake anajificha nyuma ya madaktari.

Madaktari eneo la tukio hawana umuhimu sana labda angesema wagonjwa walienda hospitali na hawakukuta madaktari eneo la casuality/emergency.
 
Mkuu,

Madaktari hawahusiki kufika eneo la tukio, kikosi cha uokozi na zimamoto ndio kazi yao, kazi ya DMO na timu yake ni kuweka sawa mazingira ya kupokea wagonjwa emergency na casuality unit, kufanya triage, kuandaa vyumba vya upasuaji wa dharura, kuandaa dawa, madaktari n.k

Wamewaonea tu, daktari aende huko kufanya nini? Atatundika damu au NS kwenye nini? Anavifaa vya kuvunja nondo, ana vifaa vya kuinulia gani iliyopinduka?

Miongozo ya tiba haipo hivyo. Kama wangetelekeza wagonjwa waliofikishwa hospitalini ingekuwa msala wao, hapo mkuu wa mkoa anafanya siasa tu.
hojia yako nzeli sana na inatia simanzi sana mkuu ogopa sana undi la wana siasa wanaoteemea sifa kutoka kwa wajinga
 
Madaktari walihitajika sehemu ya tukio au hospitali? Kama wagonjwa walifikishwa hospitali toka saa 4 usiku na madaktari wakaenda saa 11 alfajiri, wanastahili adhabu.

Ila kama ni eneo la tukio tu, sioni kosa... Japo wangekuwepo kuna miongozo wangeweza kuitoa, elimu ambayo wengine hawana.
 
Angekuwa Magufuli haya yasingetokea trust me uzembe umekuwa mkubwa sana ofisini siku hizi:

Nipo natazama ITV super brand mkuu wa mkoa, mkuu wa wilaya na wananchi walijitokeza wakati wa ajali mbaya iliyouwa Watanzania 20 watatu wakifua hospitalini wanathibitisha kuwa madaktari walipigiwa simu na mkuu wa wilaya ya Korogwe wakaitikia na kusema wao walishapata taarifa mapema kabla hawajapigiwa simu muda wa saa nne na nusu usiku ila cha ajabu wakatokea saa kumi na moja asubuhi.

Baadhi ya madaktari waliopigiwa simu wanaishi jirani na hospitalini kwa kuwa waziri wa afya ni mtu wa Tanga na yupo Tanga ni vema atolee maelezo haraka maana wananchi wanajazba sana juu ya hili.

Wananchi wenye hasira walikuwa wakitaka hatua kali zaidi maana huo ni uzembe na uuwaji kabisa kwa kuwa kama wagonjwa wangepata huduma wasingekufa wengi hasa walipelekwa usiku hospitalini.

"Uzembe kazini ilikuwa ni kutumbua papo kwa hapo kipindi cha jemedari Magufuli"

USSR
Umeharibu bandiko lako kwa kumtaja Jiwe
 
Hivi kwani Zimamoto kama jeshi la uokoaji kazi yao ni ipi.?..Nafikiri sasa Tuamke Tuanzishe vitengo kama Paramedic kwenye Jeshi letu ili tuepuke kusingizia watu mambo yasiyowahusu.

Kwa maana sioni haja ya Kumlaumu DMO kutofika eneo la tukio kwani Miongozo yake haimruhusu kutuma kikosi cha mdaktari kutibia nje ya Hospitali.. hii sasa inayofanywa ni siasa baada ya kuona Mapungufu na wananchi kulalamika
Bongo siasa kila upande
 
Nmeona hii habari pia ila maamuzi ya mkuu wa wilaya sio sahihi
tatizo la wateule wa raisi uwezo wao wa kuzia maafa ni mdogo sana kabla ayajatokea mfano hao wakuu wa wilaya kila siku wanawapita mafarfki wakiomba na kupokea rushwa wakiwaona na polisi kubambikizia watu kesi tena mbela ya macho yao leo imetokea hajari anajitia kulalama hovio
 
Yaani Madaktari waende eneo la tukio? Au ulitaka kusema fire na Polisi?
wakuu wa wilaya mkoa mawaziri polisi hawana uwezo wa kuzia hajari kabula haija tokea wao usubili itokee wauze sura kwenye tv kwa kutoa matmko ya hovio
 
Madaktar hawana cha kufanya katika Taifa lenye facilities mbovu, hata wangekuwepo, wangeokoa tuu ambao uhai wao ulikuwa na uwezo wa kustahimili masaa walau 12. Hakuna vifaa. Daktar afanye nini
Wameamua kuwaangushia jumba bovu.
 
Uzembe sio hao wa madtari uzembe nikutokuw na madtari ambao wanAtosha kuzunguk kwenye shift

Kama hao wa madtari wangekuw na shift ya usiku wangekuja on time / wakuwepo hospital hapo.
 
Hakika,
Uzembe sio hao wa madtari uzembe nikutokuw na madtari ambao wanAtosha kuzunguk kwenye shift

Kama hao wa madtari wangekuw na shift ya usiku wangekuja on time / wakuwepo hospital hapo.
 
Angekuwa Magufuli haya yasingetokea trust me uzembe umekuwa mkubwa sana ofisini siku hizi:

Nipo natazama ITV super brand mkuu wa mkoa, mkuu wa wilaya na wananchi walijitokeza wakati wa ajali mbaya iliyouwa Watanzania 20 watatu wakifua hospitalini wanathibitisha kuwa madaktari walipigiwa simu na mkuu wa wilaya ya Korogwe wakaitikia na kusema wao walishapata taarifa mapema kabla hawajapigiwa simu muda wa saa nne na nusu usiku ila cha ajabu wakatokea saa kumi na moja asubuhi.

Baadhi ya madaktari waliopigiwa simu wanaishi jirani na hospitalini kwa kuwa waziri wa afya ni mtu wa Tanga na yupo Tanga ni vema atolee maelezo haraka maana wananchi wanajazba sana juu ya hili.

Wananchi wenye hasira walikuwa wakitaka hatua kali zaidi maana huo ni uzembe na uuwaji kabisa kwa kuwa kama wagonjwa wangepata huduma wasingekufa wengi hasa walipelekwa usiku hospitalini.

"Uzembe kazini ilikuwa ni kutumbua papo kwa hapo kipindi cha jemedari Magufuli"

USSR
Inapigwa siasa tu hapo media zaidi. Na ile issue ya bidhaa za magendo za wapemba nayo ilipamba media.
 
Ni upuuzi tu!! Kwani masaa ya kazi hayajulikani? Hata uwapigie simu siyo lazima waje muda huo, kwani hawana shughuli nyingine waliyokuwa wanafanya? Eti asingekuwa Magufuli wasingefanya hivyo? UJINGA MTUPU.

Mbona yeye mwenyewe KAFA akiwa Rais? Kwa nini watu hawakumuogopa kuwa atakufa.

kajitie kidole unuse jinsi unavyonuka upumbavu.

Unafananisha kazi za wito na hiyo biashara yako ya kuuza mwili!!!!
 
Aliyetoa hoja hapa JF kuwa "ni kwa nini bara la Afrika haliendelei" hilo ni baadhi ya majibu yake.
 
S#£h#t hole country

Kila mtu ni s#£t%h

Ova
 
Back
Top Bottom