DR Mambo Jambo
JF-Expert Member
- May 10, 2012
- 11,622
- 26,005
Hivi kwani Zimamoto kama jeshi la uokoaji kazi yao ni ipi.?..Nafikiri sasa Tuamke Tuanzishe vitengo kama Paramedic kwenye Jeshi letu ili tuepuke kusingizia watu mambo yasiyowahusu.
Kwa maana sioni haja ya Kumlaumu DMO kutofika eneo la tukio kwani Miongozo yake haimruhusu kutuma kikosi cha mdaktari kutibia nje ya Hospitali.. hii sasa inayofanywa ni siasa baada ya kuona Mapungufu na wananchi kulalamika