Ajali Korogwe: Madaktari walipigiwa simu saa nne usiku wakafika saa kumi na moja

Ajali Korogwe: Madaktari walipigiwa simu saa nne usiku wakafika saa kumi na moja

Bavicha mbona mna ututusa mwingi

Umeambiwa madaktari hawakuwepo hospital ingawa walipigiwa Simu kwamba kuna wahanga wa ajali wanaletwa

Hai madaktari Wanaishi Kwenye kota za hospital hapo hapo

Ilibidi DC ambaye siyo Daktari kitaaluma atoe referral kwa wale wenye hali Mbaya

Acheni ujinga!
Na haiwezekani ipigiwe simu na mkuu wilaya upwelling maagizo alafu ufanye utakavyo
 
Kwahiyo anaposema ingekua flan usingekua ivo, kwamba utawala huu ndio umesababisha hayo? Mbona fuba la rambirambi kule KGR lilitiwa mfukoni hamkulalamika?
Bavicha mbona mna ututusa mwingi

Umeambiwa madaktari hawakuwepo hospital ingawa walipigiwa Simu kwamba kuna wahanga wa ajali wanaletwa

Hai madaktari Wanaishi Kwenye kota za hospital hapo hapo

Ilibidi DC ambaye siyo Daktari kitaaluma atoe referral kwa wale wenye hali Mbaya

Acheni ujinga!
 
Acha uboya uzi wa ile ajari upo kaulize kule huu uzembe unapaswa kukemewa

USSR
We Ni mjinga ukielimishwa utaelimika uhai wa mtu atakufa ataishi Mungu ndie anayejua! Jiografia ya korogwe unaijua? Hospitali ya wilaya ilipo na eneo la ajali? Wajua waliojitokeza eneo la tukio walikua na kazi ya kuiba kuliko kutoa Msaada na waliokufa on the spot Ni almost 17!

Tumepoteza ndugu zetu acheni siasa! Mkuu wa mkoa ndio wa kwanza kujiuzulu kwa kushindwa yeye na serikali yake kuwa na standby team ya zimamoto na uokoaji!

DTO alifika on time yeye RC NA ZIMAMOTO WALIKUA WAPI.

unawasimaisha madkatari kazi watu wengine waendelee kufa na kukosa huduma hospitalini wakati huna mbadala? Siasa sihasa
 
Bavicha mbona mna ututusa mwingi

Umeambiwa madaktari hawakuwepo hospital ingawa walipigiwa Simu kwamba kuna wahanga wa ajali wanaletwa

Hai madaktari Wanaishi Kwenye kota za hospital hapo hapo

Ilibidi DC ambaye siyo Daktari kitaaluma atoe referral kwa wale wenye hali Mbaya

Acheni ujinga!
Sasa mkuu ubavicha umetoka wapi hapo? Kwamba wewe ni mwerevu sana mimi ni mjinga? Fine!
 
Ni upuuzi tu !! Kwani masaa ya kazi hayajulikani? Hata uwapigie simu siyo lazima waje muda huo, kwani hawana shughuli nyingine waliyokuwa wanafanya? Eti asingekuwa Magufuli wasingefanya hivyo? UJINGA MTUPU.

Mbona yeye mwenyewe KAFA akiwa Rais? Kwa nini watu hawakumuogopa kuwa atakufa.
Kwani hakuna madaktari wa zamu hiyo hospitali?

Hata kama walikuwa hawatoshi, kwani wakipigiwa simu kwa dharura kusaidia uokozi na huduma ya kwanza kuna ubaya gani?

Kama walikuwa wameshalewa ijulikane, lakini sio kuwatetea kizembe.
 
Wewe na hao wananchi wenye hasira ni vilaza, hamna akili na hamjui wajibu wa madaktari kabisa.
Hili taifa uzembe ni jadi yetu kila sekta, sioni kwanini hao madaktari wasilaumiwe, kuokoa roho za watu hakuwezi kusubiri muda wa kazi hata mara moja.
 
Angekuwa Magufuli haya yasingetokea trust me uzembe umekuwa mkubwa sana ofisini siku hizi:

Nipo natazama ITV super brand mkuu wa mkoa, mkuu wa wilaya na wananchi wa lijitokeza wakati wa ajari mbaya iliyouwa Watanzania 20 watatu wakifua hospitalini wanathibitisha kuwa madaktari walipigiwa simu na mkuu wa wilaya ya korogwe wakaitikia na kusema wao walishapata taarifa mapema kabla hawajapigiwa simu muda wa saa nne na nusu usiku ila cha ajabu wakatokea saa kumi na moja asubuhi.

Wananchi wenye hasira walikuwa wakitaka hatua kali zaidi maana huo ni uzembe na uuwaji kabisa kwa kuwa kama wagonjwa wangepata huduma wasingekufa wengi zazi hasa walipelekwa usiku hospitalini.

"Uzembe kazini ilikuwa ni kutumbua papo kwa hapo kipindi cha jemedari Magufuli"

USSR
Yaani kusema ukweli, kwa wale waliowahi kuishi nje kidogo, madaktari wa kibongo wanaboa sana. wana kiburi, wapenda rushwa na vinajifanya vitaalaamuuuu wakati kutibu haviwezi.

Kuna wakati huwa naviangalia naviacha tu. kwamba tusiwaseme ati wanatutibu wakati tunawaona wazi kabisa wanazingua tukiwalinganisha na madoctor wenzao?

Walevi, malaya na kiufupi hakuna kitu yaani. watz wengi wanapona kwa kudra za Mungu tu ila majority ni incompetent, hawana ari ya kutibu wanafanya tu kwa mshahara. (though sio wote, wapo wale wazoefu wanajitahidi ila majority ni vuruvuru tu). binafsi nikikuta asehemu doctor au polisi anafumuliwa na wenye madaraka, hata huwa siumizi moyo kufikiria. wengi wanastahili.
 
Hayo ni matatizo ya mkoa na wilaya kukosa mpango maalum wa emergencies kama hizo.
Hakuna uzembe wowote kwa daktari hapo, labda kama walitakiwa wawe zamu siku hiyo au walipangwa kuwa madaktari wa dharura.
Hili taifa uzembe ni jadi yetu kila sekta, sioni kwanini hao madaktari wasilaumiwe, kuokoa roho za watu hakuwezi kusubiri muda wa kazi hata mara moja.
 
Angekuwa Magufuli haya yasingetokea trust me uzembe umekuwa mkubwa sana ofisini siku hizi:

Nipo natazama ITV super brand mkuu wa mkoa, mkuu wa wilaya na wananchi wa lijitokeza wakati wa ajari mbaya iliyouwa Watanzania 20 watatu wakifua hospitalini wanathibitisha kuwa madaktari walipigiwa simu na mkuu wa wilaya ya korogwe wakaitikia na kusema wao walishapata taarifa mapema kabla hawajapigiwa simu muda wa saa nne na nusu usiku ila cha ajabu wakatokea saa kumi na moja asubuhi.

Wananchi wenye hasira walikuwa wakitaka hatua kali zaidi maana huo ni uzembe na uuwaji kabisa kwa kuwa kama wagonjwa wangepata huduma wasingekufa wengi zazi hasa walipelekwa usiku hospitalini.

"Uzembe kazini ilikuwa ni kutumbua papo kwa hapo kipindi cha jemedari Magufuli"

USSR
Sielewi kwamba walipigiwa simu wakatibu eneo la tukio au?
 
Back
Top Bottom