Ajali Korogwe: Madaktari walipigiwa simu saa nne usiku wakafika saa kumi na moja

Hivi kwani Zimamoto kama jeshi la uokoaji kazi yao ni ipi.?..Nafikiri sasa Tuamke Tuanzishe vitengo kama Paramedic kwenye Jeshi letu ili tuepuke kusingizia watu mambo yasiyowahusu.

Kwa maana sioni haja ya Kumlaumu DMO kutofika eneo la tukio kwani Miongozo yake haimruhusu kutuma kikosi cha mdaktari kutibia nje ya Hospitali.. hii sasa inayofanywa ni siasa baada ya kuona Mapungufu na wananchi kulalamika
 
Zimamoto wanaweza kutibu mgonjwa mahututi?
 
Stokuelewa hata siku moja, nadhani wewe ni roboti na siyo binadamu
 
Kuwa na shukurani mkuuu hyo ajali inahusishwa naambo mengi mno
 
Kwanza saa nne ni muda wa kulala
 
Zimamoto wanaweza kutibu mgonjwa mahututi?
Umesoma nilichoandika mkuu?,Umekielewa? au umesoma ili unijibu?...

Ok..ngoja nikuweke sawa nimetoa suggestion ya kuanzishwa kwa Idara ya Paramedic katika Idara ya Jeshi la zimamoto na uokoaji kama ilivyo kwa wenzetu cha ajabu jeshi letu kama lilivyoitwa ZIMAMOTO wao wanaona linadeal na kuzima moto peke yake na ndo maana Hata katika uokoaji tuko poor Nikukumbushe kuhusu Ajali ya Precision Air kama tungekuwa na kitengo ca paramedic tusingepata idadi ile ya vifo...

(Paramedics ni kitengo kinachodeal na kumuona Mgonjwa na kumstage kulingana na ugonjwa wake na jinsi anavyotakiwa attantion ya Daktari....

Ina maelezo marefu ila Ni kuwa anafanya kazi ya kuokoa na kusaidia kazi ya huduma ya kwanza kabla ya kupeleka kwa daktari na kitengo hicho kwa wenzetu kinafanya kazi na wanaajiliwa jeshini ni madaktari au paramedical personel na wakisikia majanga mara moja huondika na Jeshinkwenda kuokoa na kutoa ushauri na ndio atatoa maelezo kwa daktari kulingana alivyowa stage wagonjwa either wa ajali au wa majanga mengine
 
Suggestions nzuri mkuu Ila naona
Itafanyiwa kazi baada ya miaka 1000 au 2000 ijayo,
 
We jamaa jina la magufuli limekuumiza sana... punguza hasira
 
Bavicha mbona mna ututusa mwingi

Umeambiwa madaktari hawakuwepo hospital ingawa walipigiwa Simu kwamba kuna wahanga wa ajali wanaletwa

Hai madaktari Wanaishi Kwenye kota za hospital hapo hapo

Ilibidi DC ambaye siyo Daktari kitaaluma atoe referral kwa wale wenye hali Mbaya

Acheni ujinga!
 
Angekua.. angekua! Pesa za rambirambi mpaka leo wahanga wanalalmika!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…