Hili ndilo jibu katika point zote, Traffic jaeakagui mabasi ya Shule. Mabasi yote ya mjini daladala na mabadi ya shule hayana mikanda ya abiria, km ingekuwepo vifo vingepungua, kwani watoto wangebaki kwenye viti, idadi jsingefika hiyo. Mwisho dereva na Basi lenyewe havina uzoefu, mabasi ya mijini vibreki ma vya papo kwa papo, huo Mlima tembo una mwinuko na mteremko mrefu kabla hujafika mteremko mwingine wa ajali ni lazima breki silishakorofisha
Sion kama kununua magari used in shida maana hata lingekuwa jipya Leo, likitumika kesho litakuwa used.Wananunua magari used,wanapaka rangi tu,kumbe ni mabovu,alafu wanabebea watoto,hapa washtakiwe
Duhh, kazi kweli kweli. Hivi hiyo bara bara ya mto wa mbu Karatu ilivyo sasa utalinganisha na ilivyokua miaka ya 1990s? Bara bara hiyo ina shida gani mkuu? Umewahi kuona barabara zenye shida? Au unadhani bara bara zote zitakua kama Ubungo - Posta? Uzembe wa dereva na uchakavu wa chombo ndo vinabeba asilimia kubwa sana katika ajali mkuu.Mawazo yako kama ya Mpiga ramli chonganishi hayo uliyoeleza ya uhusiano gani na hii ajali? Maana hata gari ingekuwa Mpya bado ajali inaweza kutokea.
Hapa cha kulaumu ni barabara zetu tu na si kingine
Hakika mkuu. Unaweza usiamini kama watu wa type hii wana exist hadi ukiona comments za aina hii.Kwa akili hii tanzania ya viwanda inakuja
Wazazi poleni kwa msiba huu uliowapata watoto wetu wapendwa wa Lucky Vicent na walimu wao! Hakika ni majonzi makubwa sana! Lakini yafaa tutafakari kwa kina kwanini janga kama hili liwafike watoto hawa, tumaini la maisha yetu! Maswali ni mengi, na kwa kweli yana hitaji majibu ya kina.
Kwa tunaozunguka kutwa barabarani, mtakubaliana na mimi kuwa, vipo viashiria vingi hatarishi kwa watoto wetu wanapotumia mabasi ya shule zao. Shule nyingi zinatumia mabasi ambayo zamani yalitumika kama daladala, na baada ya kuchoka yakabadilishwa na kuwa mabasi ya shule. Huku madereva wakiendesha kwa mwendo usiostahili kabisa kubeba watoto.
Hatari zaidi, mabasi haya ya shule hubeba idadi kubwa ya wanafunzi kuzidi uwezo halisi wa gari, na kutokuzingatia taratibu zote za kiusalama kama vile kufunga mikanda. Mfano wa hili ni hii ajari ya Lucky Vicent. Wanasema "eti gari lili feli breki" ndo sababu ya ajari! Binafsi sikubaliani nalo.
Kwa wale ambao wameendesha magari makubwa kwa weledi na kwa kipindi kirefu, watakubaliana na mimi kuwa, kubeba uzito zaidi ya uwezo wa gari pamoja na mwendo kasi husababisha mfumo wa breki za gari kushidwa kuhimili, hivyo kutokukamata pale dereva anapozitumia.
Sababu nyingine ya kujiuliza, je ni kweli haya mabasi ya shule yanafanyiwa matengenezo na ukaguzi wa mara kwa mara, kwa maana ya motor vehicle service! Hapa inatiashaka! *A motor vehicle service is a series of maintenance procedures carried out at a set time interval or after the vehicle has travelled a certain distance.* Shule ya Lucky Vicent lazima ithibitishe kwa kuonyesha *service na log books* za hilo gari, majibu utayaona, hakuna kumbukumbu ya service.*The completed services are usually recorded in a service book which is rubber stamped by the service centre upon completion of each service.* Mashule mengi yanahuo udhaifu, na hii inatokana na uzembe, tamaa, ubadhirifu wa watendaji wao, kutokujali maisha ya wanafunzi na kutokuwa waangalifu huku wakiweka mbele masilahi yao na kupata faida.
Matengenezo muhimu na ya mara kwa mara kwa gari *motor vehicle service* ni kama ifuatavyo;
-Change the engine oil & oil filter
-Replace the air filter & fuel filter
-Tune the engine
-Check level & refill brake fluid/clutch fluid
-Check Brake Pads/Liners, Brake Discs/Drums, and replace if worn out.
-Check level and refill power steering fluid
-Refill Manual Transmission Fluid,Grease and lubricate components inspect.
-Check condition of the tires
-Check for proper operation of all lights, wipers etc.
Vipuri vingine vyote vinavyo weza kulifanya gari lisiwe salama kwa matumizi ya barabara hukaguliwa na kubadilishwa wakati wa kufany *service* je mashule yetu wanafanya haya! Kama haya hayafanyiki ni wakati sasa wazazi wa watu wote wenye matashi mema kuchukua hatua za kuwawajibisha wahusika wote ili kuokoa maisha ya watoto wasio na hatia.
Who is the real enemy!!! The devil??? Serious??? Ndiyo maana nchi hii haiendelei na haitaendelea kwa sababu wapiga kura na wapigiwa kura wote ni wale wale.Kwa kuwa we continue to point our fingers towards the wrong direction,tutaendelea kuangamia day in and day out.Very sad.Sijui kwa nini we are so afraid to confront our real enemy,the Devil and his agents who are all around us.
Acheni akili za kijima,inasikitisha sana ni sahihi ulichokiandika lakini mkuu kaa ukijua ajari haina kinga gari linaweza kuwa na hayo yote na dreva ni mzoefu wa miaka mingi ninachoweza kusema yawezekana dreva alikuwa mzembe sawa lakini! ! mazingira yalichangia kwa kiasi kikubwa kutokea kwa ajari yani mvua, ukungu na mahali penyewe yote kwa yote tunapata fuzo kubwa sana sisi tuliobaki Mungu awalaze mahali pema watoto wetu majeruhi awaguse pole kwa kwawalio fikwa na msiba
kinachonipa shida ni mtoto alietoka akiwa hana ana mchubuko zinazunguka picha 2 tofauti za jinsia tofauti sijui ninani kati yao muhusika
napia wanasema aliepona alikuwa kwenye gari la nyuma tofauti na lile lililo pata ajari maana gari zilikuwa wengine wanasema 4 inasikitisha sana kwakweli
Ilo bus limevuka check point ngapi....? Na polisi wabebwe wote wa kwenye hizo check point
Ni vema tukaelezana ukweli kama hivi, maana baadhi ya watu akili zao hazifai kuleta ufumbuzi wa matatizo ya nchi hii. Eti ubovu wa barabara!!!!???Ndugu umekosea sana bara bara iko sawa haina tatizo ina alama za barabarani zote inasafirisha 90% ya watalii wote wanaokuja kanda ya kasikazini hawapati ajali sababu madereva wameenda shule Na magari siyo mabovu usitetee ujinga kwa imani potofu
Likishaandikwa school,bus hawa wakubwa wa barabara hawana time nalo!!!!!!Wazazi poleni kwa msiba huu uliowapata watoto wetu wapendwa wa Lucky Vicent na walimu wao! Hakika ni majonzi makubwa sana! Lakini yafaa tutafakari kwa kina kwanini janga kama hili liwafike watoto hawa, tumaini la maisha yetu! Maswali ni mengi, na kwa kweli yana hitaji majibu ya kina.
Kwa tunaozunguka kutwa barabarani, mtakubaliana na mimi kuwa, vipo viashiria vingi hatarishi kwa watoto wetu wanapotumia mabasi ya shule zao. Shule nyingi zinatumia mabasi ambayo zamani yalitumika kama daladala, na baada ya kuchoka yakabadilishwa na kuwa mabasi ya shule. Huku madereva wakiendesha kwa mwendo usiostahili kabisa kubeba watoto.
Hatari zaidi, mabasi haya ya shule hubeba idadi kubwa ya wanafunzi kuzidi uwezo halisi wa gari, na kutokuzingatia taratibu zote za kiusalama kama vile kufunga mikanda. Mfano wa hili ni hii ajari ya Lucky Vicent. Wanasema "eti gari lili feli breki" ndo sababu ya ajari! Binafsi sikubaliani nalo.
Kwa wale ambao wameendesha magari makubwa kwa weledi na kwa kipindi kirefu, watakubaliana na mimi kuwa, kubeba uzito zaidi ya uwezo wa gari pamoja na mwendo kasi husababisha mfumo wa breki za gari kushidwa kuhimili, hivyo kutokukamata pale dereva anapozitumia.
Sababu nyingine ya kujiuliza, je ni kweli haya mabasi ya shule yanafanyiwa matengenezo na ukaguzi wa mara kwa mara, kwa maana ya motor vehicle service! Hapa inatiashaka! *A motor vehicle service is a series of maintenance procedures carried out at a set time interval or after the vehicle has travelled a certain distance.* Shule ya Lucky Vicent lazima ithibitishe kwa kuonyesha *service na log books* za hilo gari, majibu utayaona, hakuna kumbukumbu ya service.*The completed services are usually recorded in a service book which is rubber stamped by the service centre upon completion of each service.* Mashule mengi yanahuo udhaifu, na hii inatokana na uzembe, tamaa, ubadhirifu wa watendaji wao, kutokujali maisha ya wanafunzi na kutokuwa waangalifu huku wakiweka mbele masilahi yao na kupata faida.
Matengenezo muhimu na ya mara kwa mara kwa gari *motor vehicle service* ni kama ifuatavyo;
-Change the engine oil & oil filter
-Replace the air filter & fuel filter
-Tune the engine
-Check level & refill brake fluid/clutch fluid
-Check Brake Pads/Liners, Brake Discs/Drums, and replace if worn out.
-Check level and refill power steering fluid
-Refill Manual Transmission Fluid,Grease and lubricate components inspect.
-Check condition of the tires
-Check for proper operation of all lights, wipers etc.
Vipuri vingine vyote vinavyo weza kulifanya gari lisiwe salama kwa matumizi ya barabara hukaguliwa na kubadilishwa wakati wa kufany *service* je mashule yetu wanafanya haya! Kama haya hayafanyiki ni wakati sasa wazazi wa watu wote wenye matashi mema kuchukua hatua za kuwawajibisha wahusika wote ili kuokoa maisha ya watoto wasio na hatia.
Hii pia point...ukiangalia gari limeharibika kwa mbele tu...ila viti vimechomoka (ubovu) na kama vingekuwa na ubora na kungekuwa na mikanda wasingekufa kwa wingi huo...hili liwe funzo maana wako wengi wanaobeba watoto wetu kwenye magari mabovu...Acheni akili za kijima,
Watoto wote wangekuwa wamefunga mikanda wangekufa?
Ajali nyingi ni uzembe,uroho wa kubania pesa, ujinga pamoja na imani hizi za kishirikina.
Umeona eeehhh...ni kama school bus zina exemption kwenye swala la usalama...Likishaandikwa school,bus hawa wakubwa wa barabara hawana time nalo!!!!!!
Katika trip hiyo, magari jumla yalikua 3, mawili yakiwa ni ya shule na moja lililopata ajali ni la kukodi.gari ya shule ilikua wapi
Nawapa pole wazazi waliofikwa na msiba. Nimesikia kuwa hats Rais wa Kenya Mheshimiwa Kenyatta alisimama kwa muda kwenye mikutano take ili kutoa salaamu kwa ajili ya watoto hao. Sisi wahusika tamko letu likoje.Wazazi poleni kwa msiba huu uliowapata watoto wetu wapendwa wa Lucky Vicent na walimu wao! Hakika ni majonzi makubwa sana! Lakini yafaa tutafakari kwa kina kwanini janga kama hili liwafike watoto hawa, tumaini la maisha yetu! Maswali ni mengi, na kwa kweli yana hitaji majibu ya kina.