Tetesi: Ajali Lucky Vincent School: Uzembe, Tamaa, Ubadhirifu na Kutokujali Usalama wa Wanafunzi

Sawa Tuache mambo ya magari. KULIKUWA NA UMUHIMU GANI KWA WANAFUNZI KUSAFIRI KWA AJILI YA KWENDA KUFANYA JOINT EXAMS. WANGEWEZA KUTUNGA MTIHANI WAPAMOJA NA WATOTO WAKAFANYA BILA KUSAFIRI.
Umetoa hoja nzuri sana.
 
Kwaajili ya kawaida kama wanafunzi wa 4/6 wanakaa wawili wawili kwenye coaster iweje darasa la nne Na Saba wakae mmoja moja kweli haiwezekani labda shule kama briburn au St Jude kidogo
 
Hili tukio litumike na serikali kuzikagua hizi shule za private hasa kwenye eneo la usafiri na accomodation.

Kuna uzembe mkubwa sana kutokana na tamaa ya pesa
 
Hakuna shetani wala chunusi wala yunusi ukweli ajali nyingi no uzembe Na madereva wasiyo sifa tafuta riport zote mpaka sasa dereva hajulikani jina lake kamili hajatajwa popote anaitwa nan ingekuwa umeajiliwa zi jina lingetajwa mbona walimu Na wanafunzi wametajwa?
 
Tuwe tu wakweli hata nyumbani kwako kwenye sofa ya watu wawili watoto wako hukaa wangapi...
 
Mkuu siamini kwenye kuzidisha uzito.. Hao watoto ata wangepanda mia hawawez kuzidisha uzito kiasi cha mfumo wa breki kuzidiwa.. Labda unambie maintainance au ispection haikufanyika plus uzembe au kuchoka kwa huyo dereva.. Hatujui usiku wake alikua anafanya kabla hajaanza safar..
 
Lami tu ndio tofauti yake na 1990s Barbara zetu ni nyembamba sana na za hatari mno ukikosea kidogo umekwisha.

Toka Barabara ya Chalinze Morogoro ipanunilwe fuatilia takwimu ajali zimepungua kwa kiasi cha ajabu
 
Mradi ajari imetokea kila mtu atasema lake kumtafutia fulani makosa. Ukweli unabaki palepale, mauti ni haki, usipokufa leo utakufa kesho na mauti hayana umri!
Vifo vya hawa wanafunzi vimekuwa ni vya huzuni kubwa kwa wazazi na Taifa kwa ujumla, lkn hatuwezi kubadili ukweli kuwa hawa hatunao tena. Kujenga dhana wakati huu si jambo zuri, ni vyema tukasubiri mamlaka zinazohusika zikatoa taarifa rasmi. Ajari haina kinga. Nimesafiri sana na mabasi na malori lkn sijapata ajari hata mara moja, si kwa ujanja wangu bali ni kwa neema za Mwenyezi MUNGU. Hii inanifanya niamini kuwa Kila mtu ana siku yake ya kufa na ikifika utakufa tu, iwe kwa ajali au kifo cha ghafla hata kama upo kitandani kwako mauti yatakufuata. Hakuna mauti yanakosaga sababu, ni hulka ya mwanadamu kutafuta mahala pa kurusha lawama zake mauti yanapotokea.
 

Well said, poor maintenance ndiyo tatizo kubwa la magari yanayo beba wanafunzi, majority ya magari haya yemechoka sana, wanacho fanya ni kuyapiga rangi basi - hata akili za kuchukua tahadhali wanapo panga safari ndefu kwamba wakague brake system nzima, power steering system na kibukwa zaidi condition za matairi, si ajabu ukakuta tairi lilipasuka wakati dereva akiwa kwenye mwendo kasi - vyeti feiki siyo maofisini tu hata madereva wengi wana liseni za kughushi.

Serikali inapaswa kukazania annual motor vehicle inspection by an Authorised Garages, tuwaige wenzetu wa Ulaya - gari aliruhusiwi kuwa barabarani kama alina cheti cha M.O.T - wako serious kwa saula hili.
 
Lami tu ndio tofauti yake na 1990s Barbara zetu ni nyembamba sana na za hatari mno ukikosea kidogo umekwisha.

Toka Barabara ya Chalinze Morogoro ipanunilwe fuatilia takwimu ajali zimepungua kwa kiasi cha ajabu
Ndiyo maana tunajadili ili tupunguze huko kukosea kidogo. Wembamba wa barabara ingekua hoja kama ajali ingekua ni ya kugongana. Pia bara bara zinatofautiana viwango kulingana na umuhimu wake. Mfano hiyo ya Chalinze - Morogoro ambayo ni TANZAM Highway ( Dar - Tunduma) ni T1, Chalinze - Arusha ni T2, Morogoro - Mwanza ni T3 nk. Utakuta hiyo Mto wa mbu - Karatu labda ni T30, sasa haiwezi kuwa na upana na viwango vingine kama bara bara zingine, lakini kwa ujumla ina lami na ni nzuri kwa category yake.
 
Gari sio Train useme litakaa kwenye line mwanzo mwisho lazima upewe upana wa kuweza kurudi barabarani ukiteleza
 
kumbuka tangu ndalichako aseme waliosoma english medium wakifika chuo kikuu hawapati mkopo watoto hawapelekwi tena shule hizo
Wewweee..... Embu wacha uongoo.. Duhh
 
Story tu... Same same...
 
Who is the real enemy!!! The devil??? Serious??? Ndiyo maana nchi hii haiendelei na haitaendelea kwa sababu wapiga kura na wapigiwa kura wote ni wale wale.
Wewe pia ni shetani... Maana naona unamtetea sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…