Uzalendo wa Kitanzania
JF-Expert Member
- Mar 8, 2020
- 3,585
- 8,106
Mkuu tulikuwa na msiba hapo about 4 weeks Lakini sijakuona
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Utakuwa mgeni dasalama mjiniAhaha kumbe wewe ni ni jirani?
Naanza kupata picha sasa
Blaza kumbe tunakunywa kiota kimoja....Wanabodi
Kumetokea ajali mbaya ya magari matatu na boda boda, yamegongana huku mimi nikishuhudia huku nikiwa viti virefu hapa sebuleni kwangu Highland, mkabala na Masana Hospital.
Sijaweza kujua chanzo, ila gari moja ilikuwa inatokea Goba, Kwa spidi kali, mara uso kwa uso na Bodaboda, ikaikwepa kwa kuipiga ubavuni na katika kukwepa, ikaiparamia gari ya kwanza, ikaipiga pasi ya haja, ikaigonga gari gari ya pili na kutua uso kwa uso na gari ya tatu ikafunua bonnet!.
Mwenye Bodaboda akatupwa mtaroni, na kuparamia magari mengine mawili na kulivaa uso kwa uso gari la 3!.
Mawili kati ya magari matatu yaliyoparamiwa, yanaendeshwa na madeva wadada, mmoja anayeendesha Subaru Impreza mpya, anawaka Balaa!.
Kilichosabisha congestion ya ajabu sio hayo magari manne yaliyogongana bali break down 4 zinazogombania tenda ya kuyavuta!. Magari yote 4 yanaweza kutembea hivyo sijui hizi break down zinazotuzibia njia zinagombea tenda gani!.
Paskali
Thanks God, there is neither casualties nor fatalities!.
Mungu ni mwema!.
Paskali.
Pascal hapo viti virefu ilikuwa chupa ya ngapi? Hebu soma ulichokiandika ukifananishe na wewe, anzia mwenye bodaboda akatupwa mtaroni akaparamia magari mawili....! hukohuko mtaroni?Wanabodi
Kumetokea ajali mbaya ya magari matatu na boda boda, yamegongana huku mimi nikishuhudia huku nikiwa viti virefu hapa sebuleni kwangu Highland, mkabala na Masana Hospital.
Sijaweza kujua chanzo, ila gari moja ilikuwa inatokea Goba, Kwa spidi kali, mara uso kwa uso na Bodaboda, ikaikwepa kwa kuipiga ubavuni na katika kukwepa, ikaiparamia gari ya kwanza, ikaipiga pasi ya haja, ikaigonga gari gari ya pili na kutua uso kwa uso na gari ya tatu ikafunua bonnet!.
Mwenye Bodaboda akatupwa mtaroni, na kuparamia magari mengine mawili na kulivaa uso kwa uso gari la 3!.
Mawili kati ya magari matatu yaliyoparamiwa, yanaendeshwa na madeva wadada, mmoja anayeendesha Subaru Impreza mpya, anawaka Balaa!.
Kilichosabisha congestion ya ajabu sio hayo magari manne yaliyogongana bali break down 4 zinazogombania tenda ya kuyavuta!. Magari yote 4 yanaweza kutembea hivyo sijui hizi break down zinazotuzibia njia zinagombea tenda gani!.
Paskali
Thanks God, there is neither casualties nor fatalities!.
Mungu ni mwema!.
Paskali.
Pombe hizi, we acha tu. Kwenye heading magari manne, kwenye text magari 3. Hakuna casuality lakini kuna mtu katupwa kwenye mtaro.Wanabodi
Kumetokea ajali mbaya ya magari matatu na boda boda, yamegongana huku mimi nikishuhudia huku nikiwa viti virefu hapa sebuleni kwangu Highland, mkabala na Masana Hospital.
Sijaweza kujua chanzo, ila gari moja ilikuwa inatokea Goba, Kwa spidi kali, mara uso kwa uso na Bodaboda, ikaikwepa kwa kuipiga ubavuni na katika kukwepa, ikaiparamia gari ya kwanza, ikaipiga pasi ya haja, ikaigonga gari gari ya pili na kutua uso kwa uso na gari ya tatu ikafunua bonnet!.
Mwenye Bodaboda akatupwa mtaroni, na kuparamia magari mengine mawili na kulivaa uso kwa uso gari la 3!.
Mawili kati ya magari matatu yaliyoparamiwa, yanaendeshwa na madeva wadada, mmoja anayeendesha Subaru Impreza mpya, anawaka Balaa!.
Kilichosabisha congestion ya ajabu sio hayo magari manne yaliyogongana bali break down 4 zinazogombania tenda ya kuyavuta!. Magari yote 4 yanaweza kutembea hivyo sijui hizi break down zinazotuzibia njia zinagombea tenda gani!.
Paskali
Thanks God, there is neither casualties nor fatalities!.
Mungu ni mwema!.
Paskali.
Hamna aliyetwaliwa, uvivu wa kusoma.Mama alizaa, Bwana ametwaa jina lake lihimidiwe
Wewe jamaa huwa unajisema ni mwandishi mkongwe na mwanasheria.... Ndo unaandika hivi? Elimu yetu ina shida sanaWanabodi
Kumetokea ajali mbaya ya magari matatu na boda boda, yamegongana huku mimi nikishuhudia huku nikiwa viti virefu hapa sebuleni kwangu Highland, mkabala na Masana Hospital.
Sijaweza kujua chanzo, ila gari moja ilikuwa inatokea Goba, Kwa spidi kali, mara uso kwa uso na Bodaboda, ikaikwepa kwa kuipiga ubavuni na katika kukwepa, ikaiparamia gari ya kwanza, ikaipiga pasi ya haja, ikaigonga gari gari ya pili na kutua uso kwa uso na gari ya tatu ikafunua bonnet!.
Mwenye Bodaboda akatupwa mtaroni, na kuparamia magari mengine mawili na kulivaa uso kwa uso gari la 3!.
Mawili kati ya magari matatu yaliyoparamiwa, yanaendeshwa na madeva wadada, mmoja anayeendesha Subaru Impreza mpya, anawaka Balaa!.
Kilichosabisha congestion ya ajabu sio hayo magari manne yaliyogongana bali break down 4 zinazogombania tenda ya kuyavuta!. Magari yote 4 yanaweza kutembea hivyo sijui hizi break down zinazotuzibia njia zinagombea tenda gani!.
Paskali
Thanks God, there is neither casualties nor fatalities!.
Mungu ni mwema!.
Paskali.
Huyu jamaa anazeeka na utamu wake. Kwa wanawake warembo humwambii kitu.Nnachokumbuka....Subaru Impreza...anawaka balaa.
Ungesoma mpaka mwisho basi. Hakuna vifo kwenye hiyo ajali.Mama alizaa, Bwana ametwaa jina lake lihimidiwe
Wakili Pascal Mayala, agiza hapo ulipo moja baridi na moja moto nakuja kulipa.
Bora ungegongwa na wewe Pascal Mayalla maana ulimchomea Erick kwa Magufuli akateseka sana.Wanabodi
Kumetokea ajali mbaya ya magari manne na boda boda, yamegongana huku mimi nikishuhudia huku nikiwa viti virefu hapa sebuleni kwangu Highland, mkabala na Masana Hospital.
Sijaweza kujua chanzo, ila gari moja ilikuwa inatokea Goba, Kwa spidi kali, mara uso kwa uso na Bodaboda, ikaikwepa kwa kuipiga ubavuni na katika kukwepa, ikaiparamia gari ya kwanza, ikaipiga pasi ya haja, ikaigonga gari gari ya pili na kutua uso kwa uso na gari ya tatu ikafunua bonnet!.
Mwenye Bodaboda akatupwa mtaroni, na kuparamia magari mengine mawili na kulivaa uso kwa uso gari la 3!.
Mawili kati ya magari manne yaliyoparamiwa, yanaendeshwa na madeva wadada, mmoja anayeendesha Subaru Impreza mpya, anawaka Balaa!.
Kilichosabisha congestion ya ajabu sio hayo magari manne yaliyogongana bali break down 4 zinazogombania tenda ya kuyavuta!. Magari yote 4 yanaweza kutembea hivyo sijui hizi break down zinazotuzibia njia zinagombea tenda gani!.
Thanks God, there is neither casualties nor fatalities!.
Mungu ni mwema!.
Paskali.
Kiswahili kilichotumika kwa huyo dada wa Subaru..."anawaka" kimenichanganya!Wanabodi