Hismastersvoice
JF-Expert Member
- Jan 26, 2013
- 21,741
- 26,735
Kwa hilo amezingatia maadili, ni kosa kupiga picha watu waliopata ajari!sasa ulishindwa kuweka picha
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa hilo amezingatia maadili, ni kosa kupiga picha watu waliopata ajari!sasa ulishindwa kuweka picha
How do u explain to ur children kuwa katika umri huo bado unaishi kwenye nyumba ya kupanga?Nipo nimepanga ubazi mzima jirani na Masana. Wewe ni wa pande zipi?.
P
Na wewe unaamini kweli alichoandika? anyway, kukaa nyumba ya kupanga mwisho ni umri gani?How do u explain to ur children kuwa katika umri huo bado unaishi kwenye nyumba ya kupanga?
Nenda Kisarawe, kamata hata eneo la laki tano ujenge chumba na sebule.
Kisarawe ni karibu sana na Posta kuliko Bunju, Mbweni, Mabwepande na Chanika.
Pia kuna hali nzuri ya hewa.
Miaka 40. Unless otherwise umehamishwa kikazi...Na wewe unaamini kweli alichoandika? anyway, kukaa nyumba ya kupanga mwisho ni umri gani?
OK.Miaka 40. Unless otherwise umehamishwa kikazi...
Mara ya mwisho Pasco kupanga ilikuwa Maghorofani Ilalaa
Mzima hana hata mchubuko!.boda boda ana hali gani
You don't need to explain anything to my kids, kwasababu hapo ndipo walipozaliwa, hayo ndio maisha yao. Mtoto ukizaliwa kwenye kaya masikini, utathubutu kuwauliza wazazi wako sababu ya umasikini wao, au utasoma kwa bidii ili usiishi maisha ya shida na dhiki kama ya wazazi wako?. Ikitokea ntu ni masikini, you don't have to explain anything to anybody kuhusu umasikini wako!.How do u explain to ur children kuwa katika umri huo bado unaishi kwenye nyumba ya kupanga?
Nimepokea ushauri, soon nitatimiza 60 years, hivyo nitatumia fedha zangu za mafao, kununua ardhi Kisarawe, nihamie na kuachana na nyumba za kupanga.Nenda Kisarawe, kamata hata eneo la laki tano ujenge chumba na sebule.
Kisarawe ni karibu sana na Posta kuliko Bunju, Mbweni, Mabwepande na Chanika.
Pia kuna hali nzuri ya hewa.
Asante kunitetea. Watu tumeishi ulaya mtoto unazaliwa nyumba ya kupanga na kufia nursing homes, kumiliki nyumba kwa wenye kipato kidogo ni changamoto!.Na wewe unaamini kweli alichoandika? anyway, kukaa nyumba ya kupanga mwisho ni umri gani?
Mkuu Bemendazole, kwenye hojaji za sensa, naomba pia sisi over 40 tunaoishi nyumba za kupanga, tutambuliwe na kuhesabiwa ili tujijue tuko wangapi.Miaka 40. Unless otherwise umehamishwa kikazi...
Brother mbona unajiwai na kupanga!? Jamaa kasema tu wwe utakua Jirani yake na wala hakutaka kujua Kama wwe ni mpangaji au ni mmiliki!!Nipo nimepanga ubazi mzima jirani na Masana. Wewe ni wa pande zipi?.
P
Nipo hapa kwa mwamposa kawe nakusubirWanabodi
Kumetokea ajali mbaya ya magari manne na boda boda, yamegongana huku mimi nikishuhudia huku nikiwa viti virefu hapa sebuleni kwangu Highland, mkabala na Masana Hospital.
Sijaweza kujua chanzo, ila gari moja ilikuwa inatokea Goba, Kwa spidi kali, mara uso kwa uso na Bodaboda, ikaikwepa kwa kuipiga ubavuni na katika kukwepa, ikaiparamia gari ya kwanza, ikaipiga pasi ya haja, ikaigonga gari gari ya pili na kutua uso kwa uso na gari ya tatu ikafunua bonnet!.
Mwenye Bodaboda akatupwa mtaroni, na kuparamia magari mengine mawili na kulivaa uso kwa uso gari la 3!.
Mawili kati ya magari manne yaliyoparamiwa, yanaendeshwa na madeva wadada, mmoja anayeendesha Subaru Impreza mpya, anawaka Balaa!.
Kilichosabisha congestion ya ajabu sio hayo magari manne yaliyogongana bali break down 4 zinazogombania tenda ya kuyavuta!. Magari yote 4 yanaweza kutembea hivyo sijui hizi break down zinazotuzibia njia zinagombea tenda gani!.
Thanks God, there is neither casualties nor fatalities!.
Mungu ni mwema!.
Paskali.