Ajali Mbaya Goba Rd Masana, Magari (4) na Bodaboda Yagongana USO Kwa Uso!. Congestion ya Balaa!. Thanks God No Casualty, No Fatality!

Blaza kumbe tunakunywa kiota kimoja....

Ila trafiki naye kachukua muda.mrefu sana kuhitimisha hii ajali. Haya magari ya breakdown yamefanana yawezekana ni ya trafiki mmoja....

Hako ka baby walker kalikosababisha almanusura kaingie mtaroni.

BTW siku nyingine uwe unaagalia kaunta afu umcheki mtu anayekunywa K Vant bila kutumia glass. Unaweza ukampata jirani na mnywaji mwema....

Ila ile RUSH nimemwelewa sana dereva wake... Kachangia sana kuongeza foleni (Japo najua kwanini wewe ulikuwa bize na yule wa Subaru.... ndio maana wengi walimhusisha nanii na Malaika Kariuki)
 
Pascal hapo viti virefu ilikuwa chupa ya ngapi? Hebu soma ulichokiandika ukifananishe na wewe, anzia mwenye bodaboda akatupwa mtaroni akaparamia magari mawili....! hukohuko mtaroni?
 
Pombe hizi, we acha tu. Kwenye heading magari manne, kwenye text magari 3. Hakuna casuality lakini kuna mtu katupwa kwenye mtaro.
 
Wewe jamaa huwa unajisema ni mwandishi mkongwe na mwanasheria.... Ndo unaandika hivi? Elimu yetu ina shida sana
 
Hata kingetokea kifo mimi mkristo ningemshukuru MUNGU

Kumbukeni yatupasa kumshukuru MUNGU kwa kila Jambo!
 
Bora ungegongwa na wewe Pascal Mayalla maana ulimchomea Erick kwa Magufuli akateseka sana.
 
Kiswahili kilichotumika kwa huyo dada wa Subaru..."anawaka" kimenichanganya!
Ni mrembo kupitiliza au alifura kwa hasira?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…