Ajali Mbaya Goba Rd Masana, Magari (4) na Bodaboda Yagongana USO Kwa Uso!. Congestion ya Balaa!. Thanks God No Casualty, No Fatality!

Nipo nimepanga ubazi mzima jirani na Masana. Wewe ni wa pande zipi?.
P
How do u explain to ur children kuwa katika umri huo bado unaishi kwenye nyumba ya kupanga?
Nenda Kisarawe, kamata hata eneo la laki tano ujenge chumba na sebule.
Kisarawe ni karibu sana na Posta kuliko Bunju, Mbweni, Mabwepande na Chanika.
Pia kuna hali nzuri ya hewa.
 
Na wewe unaamini kweli alichoandika? anyway, kukaa nyumba ya kupanga mwisho ni umri gani?
 
How do u explain to ur children kuwa katika umri huo bado unaishi kwenye nyumba ya kupanga?
You don't need to explain anything to my kids, kwasababu hapo ndipo walipozaliwa, hayo ndio maisha yao. Mtoto ukizaliwa kwenye kaya masikini, utathubutu kuwauliza wazazi wako sababu ya umasikini wao, au utasoma kwa bidii ili usiishi maisha ya shida na dhiki kama ya wazazi wako?. Ikitokea ntu ni masikini, you don't have to explain anything to anybody kuhusu umasikini wako!.
Nenda Kisarawe, kamata hata eneo la laki tano ujenge chumba na sebule.
Kisarawe ni karibu sana na Posta kuliko Bunju, Mbweni, Mabwepande na Chanika.
Pia kuna hali nzuri ya hewa.
Nimepokea ushauri, soon nitatimiza 60 years, hivyo nitatumia fedha zangu za mafao, kununua ardhi Kisarawe, nihamie na kuachana na nyumba za kupanga.

Asante kwa ushauri
P
 
Nipo hapa kwa mwamposa kawe nakusubir
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…