Anasema ilula mabandaninipo hapa igalagala,
ajali imetokea wapi?
Pole sana Ndugu kwa Kuishuhudia hiyo Ajali mbaya ila kuna sehemu nyingine Gari ya Wagonjwa iliyokuwa imembeba Mgonjwa mahututi kumuwahisha Hospitali imepata Ajali ambapo Dereva na Muuguzi wamekufa papo hapo na cha Kushangaza Mgonjwa nae ghafla tu akapona na kutaka arejeshwe Kwake aendelee na Majukumu yake ya Kawaida ya Kujenga nchi.Basi limefyeka waendesha bodaboda wawili Ilula mabandani asubuhi hii.
Wamekufa papo hapo.
Safari yangu na siku yangu imeharibika asubuhi hii kwa kuona maiti.
Jana mwendo kasi limeua shekilango kwenye zebla .
zebra au pedestrian?Jana mwendo kasi limeua shekilango kwenye zebla .
Hivi hao New Force huwa wana nani nyuma yao,wameua sana watu kwa ajali lakini bado wanaendelea na biashara au ni ma agent wa shetani?Guys na mimi ni msafiri tu.
Huyo bodaboda mmoja alikuwa kampakia mama, bodaboda na huyo mama wote wamekufa.
Mbele tumeona basi mbili zimekamatwa mojawapo ni NEW FORCE, nahisi huyu New Force ndio kafanya mambo kwa fujo zake.
Sehemu inaitwa Ilula mabandani.
Basi lilikuwa linaenda Dar
Waafirka tuna matatizo sana. Yaani inakuwaje unamwona binadamu mwenzio anakatisha halafu ndio kwanza unakanyaga mafuta wakati chombo kina pedal ya breki? Kuna ushetani fulani, eh?
Ndiyozebra au pedestrian?
Hii habari imeletwa hapa 3hrs ago.... New Force gani imefika Ilula saa 4 asubuhi? Kutoka wapi?Guys na mimi ni msafiri tu.
Huyo bodaboda mmoja alikuwa kampakia mama, bodaboda na huyo mama wote wamekufa.
Mbele tumeona basi mbili zimekamatwa mojawapo ni NEW FORCE, nahisi huyu New Force ndio kafanya mambo kwa fujo zake.
Sehemu inaitwa Ilula mabandani.
Basi lilikuwa linaenda Dar
Nilijuta. Yaan yule kijana ameniumaa[emoji24][emoji24]Jana mwendo kasi limeua shekilango kwenye zebla .
Ni kweli wanajeshi ndio wanaendesha mwendokasi? Basi serikali itakuwa imefeli sana.Nilijuta. Yaan yule kijana ameniumaa[emoji24][emoji24]
Na simu akaibiwaa. Bodaboda akakimbia. Ila hawa wanajeshi wanaoendesha mwendokasi wanakimbia sana. Yaan dah
Hii habari imeletwa hapa 3hrs ago.... New Force gani imefika Ilula saa 4 asubuhi? Kutoka wapi?
Eeh. Niliwaelewa kwa kiasi chake kwa sababu zilizopelekea kuendesha.Ni kweli wanajeshi ndio wanaendesha mwendokasi? Basi serikali itakuwa imefeli sana.