Ajali mbaya Ilula: Basi limegonga na kuua waendesha bodaboda wawili

Pole kwa Wafiwa. Bus gani. Nahisi litakua linatoka Iringa linaelekea Dar.

Ila Bodaboda wanajisahau sana. Mi sio judge ila najua wenye makosa ni boda.
Boda boda wanahatarisha sana maisha yao, trafic hawana muda wa kuwashauri. Wanapack piki piki zao pembeni mwa barabara.

Sent from my Infinix X650B using JamiiForums mobile app
 
Tulia.

Andika habari vizuri, basi gani, linatokea wapi kwenda wapi n.k.

Kifo ni lazima, hata usipoangalia maiti na wewe siku Moja utakuwa maiti.

Hakika sipendi mtu anayeleta habari nusu nusu ili watu waanze kumuliza maswali,nachukia sana it’s better uache tu
Utakuta mtu anakwambia kuna mtu alikuwa anakuulizia ana shida na wewe unamuuliza nani anakwambia sikumuulize inauzi sana
 
Basi limefyeka waendesha bodaboda wawili Ilula mabandani asubuhi hii.

Wamekufa papo hapo.

Safari yangu na siku yangu imeharibika asubuhi hii kwa kuona maiti.
Hapo Ilula kuna shida gani? Ijumaa iliyopita pia ajali ya lori ilipoteza maisha ya mtu maeneo hayo
 
Pole kwa Wafiwa. Bus gani. Nahisi litakua linatoka Iringa linaelekea Dar.

Ila Bodaboda wanajisahau sana. Mi sio judge ila najua wenye makosa ni boda.
Mabasi siku hizi yamekuwa kama bodaboda pishana nayo kipande cha mbeezi hadi kibaha uone fujo zao
 
Basi limefyeka waendesha bodaboda wawili Ilula mabandani asubuhi hii.

Wamekufa papo hapo.

Safari yangu na siku yangu imeharibika asubuhi hii kwa kuona maiti.
Bodaboda wanajiamini sana kama vile wakigongwa hakuna kinachotokea. Wapumzike wanakostahili
 
Pole kwa Wafiwa. Bus gani. Nahisi litakua linatoka Iringa linaelekea Dar.

Ila Bodaboda wanajisahau sana. Mi sio judge ila najua wenye makosa ni boda.
huwezi jua mzee unaweza ukaona ni kafara hiyo
 
Tulia.

Andika habari vizuri, basi gani, linatokea wapi kwenda wapi n.k.

Kifo ni lazima, hata usipoangalia maiti na wewe siku Moja utakuwa maiti.
Mbona unatutisha lakini we mwali.....
 
Mabasi siku hizi yamekuwa kama bodaboda pishana nayo kipande cha mbeezi hadi kibaha uone fujo zao
Nilipanda bus la abood linatoka Dar to Tunduma.

Nilishangaa pale kitonga linaovateki kushoto semi.!
Nikakumbuka ninavyo endeshaga boda yangu navizia kuovateki kushoto.
 
Acha kabisa saivi mabasi yanashindana kijinga anaovatek hata kama kuna magari mbele au kuna kona kali
 
Bodaboda wanajiamini sana kama vile wakigongwa hakuna kinachotokea. Wapumzike wanakostahili
Baadhi ya dereva boda, inaonesha ni wengi wenye fujo kwa sababu pkpk inaendeshwa na vijana wengi, lakn pia wapo madereva wa magari wanaendesha ovyo kuliko hata derev boda.
Wengi hawajui au wanajisahau kuwasha indicator na lafu za kipumbav kibao.
 
Nilijuta. Yaan yule kijana ameniumaa[emoji24][emoji24]
Na simu akaibiwaa. Bodaboda akakimbia. Ila hawa wanajeshi wanaoendesha mwendokasi wanakimbia sana. Yaan dah

Nilishuhudia hii ajali jinsi yule abiria alivyokua akihangaika kujiokoa
Lakini ilishindikana
Sasa hii picha imenikaa kichwani
Inasikitisha sana.. Apumzike kwa Amani
 
Eeh. Niliwaelewa kwa kiasi chake kwa sababu zilizopelekea kuendesha.

Aisee zinatembea mno. Ukute express tena yale yako joint utafurahi. Yaan huo mwendo dah. Abiria alianguka kwneye boda. Mwendokasi akawa anajitahidi kumkwepa lkn wapi. Ndo akaenda pasua mpk ubongo. Kijana wa just 25 mpk 27 yrs hv alikua anasafiri maskini[emoji24][emoji24]
Begi lake likabaki palepale. Boda akakimbia akaacha pikipiki palepale. Mwendokasi akanyoosha aakaenda telekeza basi sijui big brother pale. Acha kbs. Mpk sasa roho inaniuma. Na ni siku 3 zimepita hapohapo shekilango wamegongwa wawili tena.
Ilikua express inatokea mbezi kwenda muhimbili na Ilikua inakimbia balaa sasa pata picha imatoka kumaliza fly over
Inakutana na Boda Boda kakatisha kwenye zebra dah.
 
Nilishuhudia hii ajali jinsi yule abiria alivyokua akihangaika kujiokoa
Lakini ilishindikana
Sasa hii picha imenikaa kichwani
Inasikitisha sana.. Apumzike kwa Amani
Jamani polee[emoji24] mm sitaki hata kukumbuka. Yaan kila nikatulia picha inanijia. Dah, jaman nduguze ukute walikua wanamsubiria maskini hafiki
 
Ilikua express inatokea mbezi kwenda muhimbili na Ilikua inakimbia balaa sasa pata picha imatoka kumaliza fly over
Inakutana na Boda Boda kakatisha kwenye zebra dah.
Yaan vile vya mbezi vinakimbia balaaa.. yaan dahh. Na kale kamteremko[emoji24]
 
Ilikua express inatokea mbezi kwenda muhimbili na Ilikua inakimbia balaa sasa pata picha imatoka kumaliza fly over
Inakutana na Boda Boda kakatisha kwenye zebra dah.
. ..Hivi hawa Pumbavu huwa wanakimbizia nini? Ili kuwa nini? Barabara wako pee yao? Abiria wao wenyewe, mishahara yako iko pale pale na hawaipati kwa kadri ya maingizo ya siku kama Dala dala... Sasa kasi ni Za nini hadi kuua Watu?[emoji45][emoji45]
RIP Mrehemu.
 
Jamani polee[emoji24] mm sitaki hata kukumbuka. Yaan kila nikatulia picha inanijia. Dah, jaman nduguze ukute walikua wanamsubiria maskini hafiki
Kanikaa kichwani yule kaka
Halafu Boda Boda wabinafsi mnoo
Yani kamtelekeza abiria apambane na mwendo kasi
 
. ..Hivi hawa Pumbavu huwa wanakimbizia nini? Ili kuwa nini? Barabara wako pee yao? Abiria wao wenyewe, mishahara yako iko pale pale na hawaipati kwa kadri ya maingizo ya siku kama Dala dala... Sasa kasi ni Za nini hadi kuua Watu?[emoji45][emoji45]
RIP Mrehemu.
Yani acha tuu
 
Back
Top Bottom