Boda boda wanahatarisha sana maisha yao, trafic hawana muda wa kuwashauri. Wanapack piki piki zao pembeni mwa barabara.Pole kwa Wafiwa. Bus gani. Nahisi litakua linatoka Iringa linaelekea Dar.
Ila Bodaboda wanajisahau sana. Mi sio judge ila najua wenye makosa ni boda.
Tulia.
Andika habari vizuri, basi gani, linatokea wapi kwenda wapi n.k.
Kifo ni lazima, hata usipoangalia maiti na wewe siku Moja utakuwa maiti.
Hapo Ilula kuna shida gani? Ijumaa iliyopita pia ajali ya lori ilipoteza maisha ya mtu maeneo hayoBasi limefyeka waendesha bodaboda wawili Ilula mabandani asubuhi hii.
Wamekufa papo hapo.
Safari yangu na siku yangu imeharibika asubuhi hii kwa kuona maiti.
Mabasi siku hizi yamekuwa kama bodaboda pishana nayo kipande cha mbeezi hadi kibaha uone fujo zaoPole kwa Wafiwa. Bus gani. Nahisi litakua linatoka Iringa linaelekea Dar.
Ila Bodaboda wanajisahau sana. Mi sio judge ila najua wenye makosa ni boda.
Bodaboda wanajiamini sana kama vile wakigongwa hakuna kinachotokea. Wapumzike wanakostahiliBasi limefyeka waendesha bodaboda wawili Ilula mabandani asubuhi hii.
Wamekufa papo hapo.
Safari yangu na siku yangu imeharibika asubuhi hii kwa kuona maiti.
huwezi jua mzee unaweza ukaona ni kafara hiyoPole kwa Wafiwa. Bus gani. Nahisi litakua linatoka Iringa linaelekea Dar.
Ila Bodaboda wanajisahau sana. Mi sio judge ila najua wenye makosa ni boda.
Mbona unatutisha lakini we mwali.....Tulia.
Andika habari vizuri, basi gani, linatokea wapi kwenda wapi n.k.
Kifo ni lazima, hata usipoangalia maiti na wewe siku Moja utakuwa maiti.
Nilipanda bus la abood linatoka Dar to Tunduma.Mabasi siku hizi yamekuwa kama bodaboda pishana nayo kipande cha mbeezi hadi kibaha uone fujo zao
Acha kabisa saivi mabasi yanashindana kijinga anaovatek hata kama kuna magari mbele au kuna kona kaliNilipanda bus la abood linatoka Dar to Tunduma.
Nilishangaa pale kitonga linaovateki kushoto semi.!
Nikakumbuka ninavyo endeshaga boda yangu navizia kuovateki kushoto.
Baadhi ya dereva boda, inaonesha ni wengi wenye fujo kwa sababu pkpk inaendeshwa na vijana wengi, lakn pia wapo madereva wa magari wanaendesha ovyo kuliko hata derev boda.Bodaboda wanajiamini sana kama vile wakigongwa hakuna kinachotokea. Wapumzike wanakostahili
Nilijuta. Yaan yule kijana ameniumaa[emoji24][emoji24]
Na simu akaibiwaa. Bodaboda akakimbia. Ila hawa wanajeshi wanaoendesha mwendokasi wanakimbia sana. Yaan dah
Ilikua express inatokea mbezi kwenda muhimbili na Ilikua inakimbia balaa sasa pata picha imatoka kumaliza fly overEeh. Niliwaelewa kwa kiasi chake kwa sababu zilizopelekea kuendesha.
Aisee zinatembea mno. Ukute express tena yale yako joint utafurahi. Yaan huo mwendo dah. Abiria alianguka kwneye boda. Mwendokasi akawa anajitahidi kumkwepa lkn wapi. Ndo akaenda pasua mpk ubongo. Kijana wa just 25 mpk 27 yrs hv alikua anasafiri maskini[emoji24][emoji24]
Begi lake likabaki palepale. Boda akakimbia akaacha pikipiki palepale. Mwendokasi akanyoosha aakaenda telekeza basi sijui big brother pale. Acha kbs. Mpk sasa roho inaniuma. Na ni siku 3 zimepita hapohapo shekilango wamegongwa wawili tena.
Jamani polee[emoji24] mm sitaki hata kukumbuka. Yaan kila nikatulia picha inanijia. Dah, jaman nduguze ukute walikua wanamsubiria maskini hafikiNilishuhudia hii ajali jinsi yule abiria alivyokua akihangaika kujiokoa
Lakini ilishindikana
Sasa hii picha imenikaa kichwani
Inasikitisha sana.. Apumzike kwa Amani
Pundamilia!zebra au pedestrian?
Yaan vile vya mbezi vinakimbia balaaa.. yaan dahh. Na kale kamteremko[emoji24]Ilikua express inatokea mbezi kwenda muhimbili na Ilikua inakimbia balaa sasa pata picha imatoka kumaliza fly over
Inakutana na Boda Boda kakatisha kwenye zebra dah.
. ..Hivi hawa Pumbavu huwa wanakimbizia nini? Ili kuwa nini? Barabara wako pee yao? Abiria wao wenyewe, mishahara yako iko pale pale na hawaipati kwa kadri ya maingizo ya siku kama Dala dala... Sasa kasi ni Za nini hadi kuua Watu?[emoji45][emoji45]Ilikua express inatokea mbezi kwenda muhimbili na Ilikua inakimbia balaa sasa pata picha imatoka kumaliza fly over
Inakutana na Boda Boda kakatisha kwenye zebra dah.
Kanikaa kichwani yule kakaJamani polee[emoji24] mm sitaki hata kukumbuka. Yaan kila nikatulia picha inanijia. Dah, jaman nduguze ukute walikua wanamsubiria maskini hafiki
Yani acha tuu. ..Hivi hawa Pumbavu huwa wanakimbizia nini? Ili kuwa nini? Barabara wako pee yao? Abiria wao wenyewe, mishahara yako iko pale pale na hawaipati kwa kadri ya maingizo ya siku kama Dala dala... Sasa kasi ni Za nini hadi kuua Watu?[emoji45][emoji45]
RIP Mrehemu.