Odhiambo cairo
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 16,353
- 22,963
Ilula ipi ?!. Ya usukumani au ya uheheni !!Basi limefyeka waendesha bodaboda wawili Ilula mabandani asubuhi hii.
Wamekufa papo hapo.
Safari yangu na siku yangu imeharibika asubuhi hii kwa kuona maiti.
mwendokasi kugonga mtu mmoja safi sana, anaokoa maisha ya wengi walio onboardisitosho barabara ya mwendo kasi ni clear unaona hata km 1 haina msongamano wala guta wala baiskeli huwa wanafanya kusudi kugonga mtu
Huku basi, kule uviko sijui Watanzania watatokaje
Yees. Yaan kosa kabisa lilikua la bodaboda. Maana amekatisha huku amebeba abiria.Kanikaa kichwani yule kaka
Halafu Boda Boda wabinafsi mnoo
Yani kamtelekeza abiria apambane na mwendo kasi
Wewe itakuwa chanjo imeharibu ubongo wako sio burePole sana Ndugu kwa Kuishuhudia hiyo Ajali mbaya ila kuna sehemu nyingine Gari ya Wagonjwa iliyokuwa imembeba Mgonjwa mahututi kumuwahisha Hospitali imepata Ajali ambapo Dereva na Muuguzi wamekufa papo hapo na cha Kushangaza Mgonjwa nae ghafla tu akapona na kutaka arejeshwe Kwake aendelee na Majukumu yake ya Kawaida ya Kujenga nchi.
Hakuna baridi mkuu huku hali ya hewa nzuri. Niko ndani ya Kilimanjaro Express kwenda Tunduma. Bujibuji za siku! Au umeloea DarNaona na baridi limekuchanganya unashindwa kuandika content keys?
MmhJana mwendo kasi limeua shekilango kwenye zebla .
Wewe umepewa Taarifa tuuGuys na mimi ni msafiri tu.
Huyo bodaboda mmoja alikuwa kampakia mama, bodaboda na huyo mama wote wamekufa.
Mbele tumeona basi mbili zimekamatwa mojawapo ni NEW FORCE, nahisi huyu New Force ndio kafanya mambo kwa fujo zake.
Sehemu inaitwa Ilula mabandani.
Basi lilikuwa linaenda Dar
Alikujibu nitag mkuuWewe umepewa Taarifa tuu
New force kwa ilula zinapita saa saba kutokea Dar kwenda mbeya mchana na kutokea mbeya saa tano asbhi
Sasa hili new force la asbhi la wapi?
Lipo newforce la Njombe wamerudisha routeKwa sababu gari za Njombe kama Njombe Xpress, Luwinzo, Galaxy nk hufika Iringa Mjini saa 3 na Ilula saa4. Kampuni ya New Force haina route ya Njombe.
Kabla ya Mambo ya tochi na speed governor, nilishawahi kufika Ilula saa nne nikitokea Mbeya. Tukanywa chai kwa msomali. Nane juu ya Alama tuko Moro. Kumi kasoro mnazi mmoja. Like bus nimelisahau jina. Lkn wenyeji wangu Mbeya walinihakikishia kabla ya saa kumi nitakua Dar es Salaam.Wewe umepewa Taarifa tuu
New force kwa ilula zinapita saa saba kutokea Dar kwenda mbeya mchana na kutokea mbeya saa tano asbhi
Sasa hili new force la asbhi la wapi?