MUTUYAMUNGU
JF-Expert Member
- Jan 25, 2014
- 1,825
- 4,374
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kufa kufaanaWasamaria wema wametoa na tairi kabisa kwenye gari
Sana mkuuInasikitisha
Sometimes huwa wanakuua kabisa, wasipokuua wanakurekodi na kukupiga picha!Wasamaria wema wametoa na tairi kabisa kwenye gari
Sio kwamba tairi zimeungua?Wasamaria wema wametoa na tairi kabisa kwenye gari
Labda tairi liling'oka. Au pengine ni hujuma walilegeza nati. Hata hivyo waliofariki walipokuwa hai huenda walidhani ajali zilizotokea ni kwa ajili ya wengine. Tujue tu tutumiapo vyombo vya moto ajali wakati wowote hasa bongoWasamaria wema wametoa na tairi kabisa kwenye gari
Na ingine wameiokoa kweli wasamaria ni watu wazuri
Ilipakia watu 9!
Angalia picha vizuri alizoupload mr choppaSio kwamba tairi zimeungua?
Zingesababisha moto mkubwa na moshi hivyo kuchafua mazingira.Wasamaria wema wametoa na tairi kabisa kwenye gari
Inavyoonekana mkuu. Watatu wamefariki sita majeruhiIlipakia watu 9!
Duh!Waliokufa ni 5