Donnie Charlie
JF-Expert Member
- Sep 16, 2009
- 16,908
- 19,123
itakuwa mbele wawili, kati wanne, nyuma watattu.Ilipakia watu 9!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
itakuwa mbele wawili, kati wanne, nyuma watattu.Ilipakia watu 9!
Hiyo gari ilikua imebaba watu 9 kama hiaceInavyoonekana mkuu. Watatu wamefariki sita majeruhi
duh, kwa mujibu wa ITV habari saa mbili ilikuwa ni watatu.Waliokufa ni 5
kikosi cha wokovu kimeyahifadhi mahali kusikojulikana.Kwahio matairi yapo wapi?
Katikati inapaswa wakae watatu,nyuma wawili na mbele wawili. Ndio maana katikati kuna mikanda mitatu na nyuma kuna mikanda miwili. Hivyo kuna watu wawili hawakuwa na mikanda kabisa achilia mbali ambao labda hawakufunga.itakuwa mbele wawili, kati wanne, nyuma watattu.
Kwann wamezikwa usiku?Walikuwa wanaenda harusini Tanga wanatokea Zanzibar,marehemu watatu wamezikwa usiku huu, wawili wamesafirishwa dar ni vijana wadogo tu
hii dini ya wenzetu haina mda wa kucheleweshaKwann wamezikwa usiku?
Yaani hizo Mitsubishi Pajero 2800 Intercooler Turbo zenye Hp 124 tu ndio unasema Zina performance Kali?Kwa kunesanesa tu hilo Gari nalikubali.Hizi gari zina performance kali sana na engine yenye uwezo wajuu sana na ukikuta na intercooler turbo plus maintenance ndio shida kwa nchi yetu kwa kifupi sio gari yakwenda nayo speed safarini bila kuwa na fundi anazozijua...Pole sana kwa wafiwa.
Sent from my TECNO KB7j using JamiiForums mobile app
Katikati inapaswa wakae watatu,nyuma wawili na mbele wawili. Ndio maana katikati kuna mikanda mitatu na nyuma kuna mikanda miwili. Hivyo kuna watu wawili hawakuwa na mikanda kabisa achilia mbali ambao labda hawakufunga.
Dunia ni Watu na watu wenyewe ndiyo sisiWasamaria wema wametoa na tairi kabisa kwenye gari
Kwaiyo limeanza kuunguwa tairi moja pekeyake?Sio kwamba tairi zimeungua?
Unazijua izo gari vizuri lakini so far Mitsubishi lancer ndio gari yenye performance kali kuliko izo subaru zenu na ata bei sio izi za mananasi..anayezijua izi gari atakwambia ukweli ata izi mafuta yake yanatakiwa premium sio haya mabaki ya mafuta tunayowekaYaani hizo Mitsubishi Pajero 2800 Intercooler Turbo zenye Hp 124 tu ndio unasema Zina performance Kali?Kwa kunesanesa tu hilo Gari nalikubali.