Ajali mbaya, madereva muwe makini

Ajali mbaya, madereva muwe makini

Hizi gari zina performance kali sana na engine yenye uwezo wajuu sana na ukikuta na intercooler turbo plus maintenance ndio shida kwa nchi yetu kwa kifupi sio gari yakwenda nayo speed safarini bila kuwa na fundi anazozijua...Pole sana kwa wafiwa.

Sent from my TECNO KB7j using JamiiForums mobile app
 
Yaani hizo Mitsubishi Pajero 2800 Intercooler Turbo zenye Hp 124 tu ndio unasema Zina performance Kali?Kwa kunesanesa tu hilo Gari nalikubali.
 
Katikati inapaswa wakae watatu,nyuma wawili na mbele wawili. Ndio maana katikati kuna mikanda mitatu na nyuma kuna mikanda miwili. Hivyo kuna watu wawili hawakuwa na mikanda kabisa achilia mbali ambao labda hawakufunga.

yah, inaonekana wawili walikuwa wamejibanza hawana seat belt..hatari sana...
 
Yaani hizo Mitsubishi Pajero 2800 Intercooler Turbo zenye Hp 124 tu ndio unasema Zina performance Kali?Kwa kunesanesa tu hilo Gari nalikubali.
Unazijua izo gari vizuri lakini so far Mitsubishi lancer ndio gari yenye performance kali kuliko izo subaru zenu na ata bei sio izi za mananasi..anayezijua izi gari atakwambia ukweli ata izi mafuta yake yanatakiwa premium sio haya mabaki ya mafuta tunayoweka

Back
Top Bottom