Ajali Mbaya ya Lori la Taka na Fuso Bagamoyo Rd Eneo la Bunju B

Pascal Mayalla

Platinum Member
Joined
Sep 22, 2008
Posts
53,857
Reaction score
121,995
Wanabodi
Nimepokea taarifa hii as breaking news: Ajali mbaya Bagamoyo Rd eneo la Bunju kati ya Fuso na lori la taka!. Kuna taarifa ya Maafa ambayo bado haijathibitishwa!.

Wana JF wa karibu mlio kwenye maeneo hayo ya tunaomba update.

Paskali
Update
Kwa mujibu wa hizo picha nilizo tumiwa kwa jinsi macho yangu yanavyo ona, I doubt kama hii ni ajali mbaya kivile compared na nilivyo elezwa and I doubt kama kuna any serious casualties or fatalities!.
P
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…