Ajali Mbaya ya Lori la Taka na Fuso Bagamoyo Rd Eneo la Bunju B

Ajali Mbaya ya Lori la Taka na Fuso Bagamoyo Rd Eneo la Bunju B

Wanabodi
Nimepokea taarifa hii as breaking news: Ajali mbaya Bagamoyo Rd eneo la Bunju kati ya Fuso na lori la taka!. Kuna taarifa ya Maafa ambayo bado haijathibitishwa!.
View attachment 2511313
Wana JF wa karibu mlio kwenye maeneo hayo ya View attachment 2511312tunaomba update.

Paskali
Update
Kwa mujibu wa hizo picha nilizo tumiwa kwa jinsi macho yangu yanavyo ona, I doubt kama hii ni ajali mbaya kivile compared na nilivyo elezwa and I doubt kama kuna any serious casualties or fatalities!.
P
Kwani hua unashindwa kuandika kiswahili au kiingereza pekee mpaka uchanganye hivyo ? Huoni kama ni aina Fulani hivi ya ushamba
 
Paskali
Update
Kwa mujibu wa hizo picha nilizo tumiwa kwa jinsi macho yangu yanavyo ona, I doubt kama hii ni ajali mbaya kivile compared na nilivyo elezwa and I doubt kama kuna any serious casualties or fatalities!.

Kwa namna hali ya fuso ilivyo mbele kama siyo kifo basi kuna walemavu wa maisha
 
Back
Top Bottom